Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo kaamua kuomba msamaha hata katika kitu kilicho wazi kabisa Cha je wakati ofisi inajengwa yeye alikua mkuu wa mkoa au. Hii kamati ipo Kwa maslahi ya upande mmoja tu siku zote.