Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Msijifanye kuwatetra Marais ndio hao hao wanafanya uhuni alafu mnasema wanavhafuliwa unayo mamlaka unavhafuliwaje yaani kuamuru jeshi litoe taarifa ndani ya saa 24 au 72 unashindwa? Kuna watu wanashukiwa kufanya maovu yeye hasikii kwanini wasiitwe wahojiwe?

Akuna cha kumchafua ni yeye mwenyewe anahusika otherwise aamuru ndani ya muda flani uchunguzi ukamilike tuone kama si yeye
 
/Nashukuru sana mwanangu. Ila nikwambie tu mimi mama yako sikuwahi kutamani kabisa kuwa rais. Hata kuwa makamu sikugombea wala sikujqza fomu ya maombi. Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia. /
Jiuzulu
 
Sasa hata kama anachafuliwa ndio kweli unaamua kumrudisha bashite ili iweje kama sio kujipaka kinyesi, Me mwenyewe najua anachafuliwa ila kuna vitu ni kujitakia ye haoni toka kumrudisha bashite ndio mambo yameharibika.
 
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
mtu anaechafuliwa maana yake ni msafi. Una uhakika samia ni msafi?
 
Wanasiasa wachafuane wanavyoweza lakini mbinu zao zisihusishe maisha ya watu wengine.

Killing innocent people for political gain inatosha sasa. Waue watoto zao, baba zao, mama zao na mashangazi zao kama rahisi.

You hope vyombo vya usalama na ulinzi watakuwa on top kuondoa hii trend mpya ya siasa kuchukua maisha ya watu kirahisi rahisi.
 
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Kama ni kweli anahujumiwa, basi akubali uchunguzi huru.

Hilo litasaidia kuwafahamu wale wanaomuhujumu.
 
/Nashukuru sana mwanangu. Ila nikwambie tu mimi mama yako sikuwahi kutamani kabisa kuwa rais. Hata kuwa makamu sikugombea wala sikujaza fomu ya maombi. Wale wazee walinilazimisha tu mwanangu. Na nililia sana. Wakasema watanisaidia./
Kama nyie ambao hamkuupania urais ndo tunawataka maana kuna watu wanautaka urais mpaka wanaandika kwenye mawe. Hao wana tamaa kwa hiyo tupo na wewe.
 
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.

Kuna matukio mengi sana kwa sasa yanatengenezwa kumchafulia sifa Rais wetu Samia.

Matukio ya utekaji, mauaji, fitina polisi na raia. Je, ni nani yup nyuma ya matukio haya? Lengo lake ni nini hasa?

Wanasiasa wabinafsi, nawakumbusha Tanzania sio nchi ya baba zenu ni yetu sote. Mtu yoyote anaweza kuwa rais wa nchi hii.

Pia soma:
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Urais ni tunu kutoka kwa Mungu. Samia alipozaliwa Mungu alijua atakuwa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa la Tanzania. Alilolipitisha Mungu, mwanadamu hawezi kulipangua.

Samia tunakupenda sana rais wetu. Mimi mwanao Bob Malik nakuombea afya njema na mafanikio mpaka 2030 utakapomaliza muhula wako wa sita. Amen.
Jinsia
Imani
Asili
 
Muda utaamua utakavyoamua. Kuna mambo mengine huwa tunakaa kimya kupisha malumbano
 
Back
Top Bottom