Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Vilabu viheshimu mikataba. Haya mambo ya kwamba mchezaji haja perform alafu unamuacha kie yeji huo ni ushwahili.Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
View attachment 3236020
Siyo kweli. Tumechukua Ubingwa mara ngapi?na ni team gani yenye forward kali zaidi yetu?Mm yanga damu ila yanga tumejaa matapeli na washirikina tu
Ninachokiona Hapa Mleta Mada Ndo Huwa AkiliWacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
View attachment 3236020
Hii nayo ni hoja utopolo waiangalie kabla hawajafikiria kunywa Vibuduz supuz😀Baleke ana mchango mkubwa kwa Yanga,ukitoa goli alilowafunga Coastal Union Yanga watakuwa na nafasi finyu ya kuchukua ubingwa hata kama lilikuwa ni la offside.Vipi kama Yanga atatwaa ubingwa kwa tofauti ya goli moja?
Ila kweli kwa mfano Baleke angekua ni mume wa mleta uzi je angekubali mume wake adhulumiwe haki yake?Ninachokiona Hapa Mleta Mada Ndo Huwa Akili
Mambo Ya Ushabiki Wako Maandaz Unauleta Kwenye Kazi Za Watu.
Huyo Baleke Mfano Angekuwa Mumeo Je Ungemwambia Hivyo?
Hadi wakishtuka atakua ameshawafilisi vibaya mno. Atakua anachukua 10% kwenye hayo magarasaApewe anachodai hersi huwa anawaingiza chaka sana mapurazai!
Ooooh. ..sababu ni mumeo roho imekuuma? Ok. Nami nikikuwowa uwe unanitetea kama hivyo. Nawaelewa wanawake mkipenda.Ninachokiona Hapa Mleta Mada Ndo Huwa Akili
Mambo Ya Ushabiki Wako Maandaz Unauleta Kwenye Kazi Za Watu.
Huyo Baleke Mfano Angekuwa Mumeo Je Ungemwambia Hivyo?
Sawa Sister Kwani Wanawake Mna Oa?Ooooh. ..sababu ni mumeo roho imekuuma? Ok. Nami nikikuwowa uwe unanitetea kama hivyo. Nawaelewa wanawake mkipenda.
Wakati mnawahonga mechi ya dabi mpate ushindi mkubwa hamkujua hayo?Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
View attachment 3236020