Ni nani anamjaza ujinga Baleke? Angeshukuru hata kukaa bench Yanga

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?

Screenshot_2025-02-14-08-43-19-262_com.instagram.android.jpg
 
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?

View attachment 3236020
Vilabu viheshimu mikataba. Haya mambo ya kwamba mchezaji haja perform alafu unamuacha kie yeji huo ni ushwahili.
 
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?

View attachment 3236020
Ninachokiona Hapa Mleta Mada Ndo Huwa Akili
Mambo Ya Ushabiki Wako Maandaz Unauleta Kwenye Kazi Za Watu.

Huyo Baleke Mfano Angekuwa Mumeo Je Ungemwambia Hivyo?
 
Utopolo tangu lini imekua club kubwa Africa? Kwenye mashindano ya kimataifa inashiriki shindano gani? Kwenye ligi yuko nafasi ya ngapi? Utopolo ni kilabu cha pombe acha atunishe misuli maana wamejaa matapeli akilegea anatapeliwa hadi boksa alivyovaa
 
Back
Top Bottom