Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu yuko wapi Nyani Ngabu? kwenye orodha yako!!Ngabu ni mchangiaji mzuri, japo ni mkora kidogo lakini hoja zake huwa na mashiko na hayuko Biased na Sio mbinafsi.Nafikiri na yeye ana sifa za kuwa hapo.
Huyu ni wa muda wote wapo ambao si heshima.kushindanishwa wakati uwezo wake unaonekana, kwa masuala ya kimataifa ngabu ni hatari sanaThank you, thank you.
You are far too kind.
But I'm too big for these annual accolades.
It has long been settled that I'm the man of all years in these forums.
Again, thank you ever so much for your kindness and consideration.
Real recognize real.
Respect.
Hapo ndo huwa sikuelewi uko kama john john mnyikaLol! Hahahaha siyo swala la kupanick Mkuu ni swala la kusikitishwa na nchi yetu iliyojaliwa utajiri mkubwa sana kuendeshwa hovyo hovyo kiasi ambacho utajiri wa nchi unawanufaisha kundi dogo sana la Watanzania huku nchi ikibaki nyuma kwenye kila sekta. Ujio wa Lowassa haujanivuruga na kamwe hautanivuruga kwa sababu kama alivyosema Baba wa Taifa CHADEMA si mama yangu. Na sitashangaa kama Lowassa siku moja akiamua kurudi CCM, BAK atakuwa wa kwanza kushangilia.
Dah! sawa Mkuu...mbavu zetu lakini.Heri yangu simo..
Lol! Hahahaha siyo swala la kupanick Mkuu ni swala la kusikitishwa na nchi yetu iliyojaliwa utajiri mkubwa sana kuendeshwa hovyo hovyo kiasi ambacho utajiri wa nchi unawanufaisha kundi dogo sana la Watanzania huku nchi ikibaki nyuma kwenye kila sekta. Ujio wa Lowassa haujanivuruga na kamwe hautanivuruga kwa sababu kama alivyosema Baba wa Taifa CHADEMA si mama yangu. Na sitashangaa kama Lowassa siku moja akiamua kurudi CCM, BAK atakuwa wa kwanza kushangilia.
Huyu ni wa muda wote wapo ambao si heshima.kushindanishwa wakati uwezo wake unaonekana, kwa masuala ya kimataifa ngabu ni hatari sana
nimempigiaa pasco kwa ushujaa wake wakumtwanga mkuu sw3ali lenye hadhi ya kimataifaa alafu mi naonaa kwa mwaka huu aliyefanya vizur ni pasco peke yake kumfananisha na watu wa ajabu ni dharau pasco alifanya vitu vinavyoonekana yaan live sasa mnatuleteaa watu wa ajabu ajabu wakati mshanajr anatufundishaa kila siku hapa na hujamuweka
paco ndo mshindi fuuuuul stop
nimeanza kampeni rasmi kwa pasco alichokifanya hamna anayeweza kusimama na kuitambulisha jf kama yeye
Nakumbuka encoreThank you, thank you.
You are far too kind.
But I'm too big for these annual accolades.
It has long been settled that I'm the man of all years in these forums and it's immutable.
Again, thank you ever so much for your kindness and consideration.
Real recognize real.
Respect.
Nakumbuka encore
Kwa faiza fox nakuunga mkono ana maneno mabaya sijui kama kaolewa kama ni mke wa mtu mmewe anayo kaziKajipange... Umekurupuka na hufai kuwa jaji... Kuna watu ambao ni 'the most hated' kama Lizaboni sijui umemtoa wapi,
Miss Natafuta kawaida yake kulia lia na kutendwa, sijawahi ona mada yake ya kuelimisha, Faiza Fox ni mdini, mbaguzi na ana majibu ya toilet Pepa, The boss ameimprove, naye zamani alikuwa mvivu kuchangia mada ila tangu tumsimange amejirekebisha, Mwana habari huru huyu nahisi ni buku saba wa Chadema... Kifupi list yako haina jipya...
Kwa faiza fox nakuunga mkono ana maneno mabaya sijui kama kaolewa kama ni mke wa mtu mmewe anayo kazi
Hahaha thank you far too kind ikungu boyCan I get an encore, do you want more..
Cooking raw wit da Ikungu boy..