Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Mh sisi wenye watoto wa kike inauma sana ,kwa michongo ya hawa watoto vioo wengine waige?ila hakuna jinsi ,tutajaribu jaribu kuwazuia na huu ujanja wao wa kidigitalee na mwendo kasi,wakati si watu wazima twajaribu kuondoka kianalojia sijui tutavistop!!!?
 
Kana fanya biashara ndiyo maana kana hela.Wewe mbona kila siku upo jamii forum au na wewe tukujadili unatumia mb zipi kuturushia hizi habari???
 
Hii comment yako sina mashaka nayo!! Wenye kuelewa wameelewa
 
ila swala la yeye kua kwenye different hotels na kupiga picha mi namtetea,umejuaje kama hotel izo lakin,.. kuna mirrors kibao kwenye public toilets za hotels na maofisi i don think iyo inakua issue sana,...we all admired ourselves in toilets mirrors before,ye bado mdogo mazee mwacheeee
 
Nlisikia kazi yake ni kuuza utamu...yan hata wew ukiwa na pesa unamtafuta falali wake unacash mapene then unakwenda kuruka nae
 
Kama ni wa young dee basi atakua ni huyohuyo YOUNG DEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…