hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,311
Mh sisi wenye watoto wa kike inauma sana ,kwa michongo ya hawa watoto vioo wengine waige?ila hakuna jinsi ,tutajaribu jaribu kuwazuia na huu ujanja wao wa kidigitalee na mwendo kasi,wakati si watu wazima twajaribu kuondoka kianalojia sijui tutavistop!!!?View attachment 399645Wambea wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu mtoto si mchezo jamani, nachunguliaga insta yake naona mmh mtoto si haba uzuri tu anao ,warumi na umbea wangu wote sijajua chochote bado kuhusu underground aka zari mtoto