Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

Ni nani anayempa jeuri ya pesa Tunda wa Young Dee?

View attachment 399645Wambea wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu mtoto si mchezo jamani, nachunguliaga insta yake naona mmh mtoto si haba uzuri tu anao ,warumi na umbea wangu wote sijajua chochote bado kuhusu underground aka zari mtoto
Mh sisi wenye watoto wa kike inauma sana ,kwa michongo ya hawa watoto vioo wengine waige?ila hakuna jinsi ,tutajaribu jaribu kuwazuia na huu ujanja wao wa kidigitalee na mwendo kasi,wakati si watu wazima twajaribu kuondoka kianalojia sijui tutavistop!!!?
 
View attachment 399645

wenzangu karibuni jukwaani aka bungeni tujadili kwanza suala la aka katoto kadogo jinsi kanavyokuja kwa kasi mujini, nani anayempa jeuri ya matanuzi ya kutisha mjini? Maana bata anazokula huyu mtoto si mchezo jamani, nachunguliaga insta yake naona mmh mtoto si haba uzuri tu anao ,warumi na umbea wangu wote sijajua chochote bado kuhusu underground aka zari mtoto
Kana fanya biashara ndiyo maana kana hela.Wewe mbona kila siku upo jamii forum au na wewe tukujadili unatumia mb zipi kuturushia hizi habari???
 
na kanakuwa kanapga dili na petitman wakuache yule mfanyakazi wa wema ndio wanakuwa wanapewa mishe ya kubeba mizigo .na pia kwa umalaya yupo na nyuma bei yake kuanzia laki akikushushia 70000 na pia kunatetesi dogo anasambaza umeme wa rea vijijini sijui maskin kibao watakavyopata umeme
Hii comment yako sina mashaka nayo!! Wenye kuelewa wameelewa
 
ila swala la yeye kua kwenye different hotels na kupiga picha mi namtetea,umejuaje kama hotel izo lakin,.. kuna mirrors kibao kwenye public toilets za hotels na maofisi i don think iyo inakua issue sana,...we all admired ourselves in toilets mirrors before,ye bado mdogo mazee mwacheeee
 
Nlisikia kazi yake ni kuuza utamu...yan hata wew ukiwa na pesa unamtafuta falali wake unacash mapene then unakwenda kuruka nae
 
Kama ni wa young dee basi atakua ni huyohuyo YOUNG DEE

Back
Top Bottom