KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda mfupi kabla au katikati ya mechi au tukio muhimu.

Sasa tunao umeme mwingi wa maji na gesi, umeme unakatika hovyo Dar es Salaam kwasababu gani? Nani tumwamini majibu yake atakayotupata? Inakera sana.
 
Na huyo atakayejibu naomba ajibu pia kwa nini CCM walitudanganya kuwa JNHPP ikikamilika, yuniti 1 ya umeme ingeuzwa kwa bei ndogo sana!!
 
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda mfupi kabla au katikati ya mechi au tukio muhimu.

Sasa tunao umeme mwingi wa maji na gesi, umeme unakatika hovyo Dar es Salaam kwasababu gani? Nani tumwamini majibu yake atakayotupata? Inakera sana.
This is Africa na huu ndio uafricanacity,, Africa kivyetu vyetu,,dhiiki zote,taabu,kero, umasikini Totoro ni vyakwetu.
 
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda mfupi kabla au katikati ya mechi au tukio muhimu.

Sasa tunao umeme mwingi wa maji na gesi, umeme unakatika hovyo Dar es Salaam kwasababu gani? Nani tumwamini majibu yake atakayotupata? Inakera sana.
Habari ndugu mteja,

Kwanza tunaomba tukupe pole kwa changamoto unayopitia kutokana na kukatika kwa huduma ya umeme. Tunatambua usumbufu unaoweza kujitokeza, hasa pale unapokuwa na shughuli muhimu zinazohitaji huduma hiyo.

Tafadhali fahamu kuwa kukosekana kwa huduma ya umeme husababishwa na matengenezo yaliyopangwa au hitilafu za ghafla, ambapo katika mazingira yote, tunatoaga taarifa rasmi kupitia njia mbalimbali za mawasiliano, ikiwemo mitandao yetu ya kijamii, makundi ya WhatsApp pamoja na SMS, ili kuwawezesha wateja kujipanga mapema.

Iwapo hupokei taarifa hizo, tunaomba radhi na ututumie namba yako ya simu pamoja na taarifa ya wilaya unayoishi kupitia Inbox yetu, ili tukuunganishe na kundi sahihi la WhatsApp. Aidha, unaweza kupiga "180", Huduma kwa Wateja TANESCO, bila malipo na kuomba kuunganishwa.

Kupitia makundi yetu, utapata taarifa kwa wakati kuhusu matengenezo na kusitishwa kwa huduma. Pia, endapo kutatokea hitilafu ya ghafla, unaweza kutoa taarifa mapema ili wataalamu wetu waweze kuchukua hatua stahiki.

Iwapo unakumbana na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo lako bila taarifa, tafadhali tujulishe eneo unaloishi ili taarifa hiyo iweze kufanyiwa kazi na wataalamu wetu.

Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunathamini uvumilivu na ushirikiano wako. Asante. ^PK
 
Hayo hayana tofauti na nguruwe kwa ulafi
Waache tu. kautafiti nilikokafanya kameonyesha kuwa 89% ya watu wanaotunza na kulea watoto/wajukuu wao kwa fedha ya wizi wa mali ya umma watoto/wajukuu wao hao ama wataishia kubwia madawa ya kulevya, kufeli shule au kufa kwa ajali, magonjwa ya ghafla, na hatimaye kuuza mali hizo ndani ya miaka 5 tangu wazazi wao hao kufa. Fedha ya wizi na dhuluma usiitumie kulisha familia yako, unawaachia balaa la kupitiliza kizazi na kizazi.
 
Yani bongo tuna serikari ya hovyo sana umeme nchini unnasumbua af serikari inauza umeme zambia
 
Habari ndugu mteja,

Kwanza tunaomba tukupe pole kwa changamoto unayopitia kutokana na kukatika kwa huduma ya umeme. Tunatambua usumbufu unaoweza kujitokeza, hasa pale unapokuwa na shughuli muhimu zinazohitaji huduma hiyo.

Tafadhali fahamu kuwa kukosekana kwa huduma ya umeme husababishwa na matengenezo yaliyopangwa au hitilafu za ghafla, ambapo katika mazingira yote, tunatoaga taarifa rasmi kupitia njia mbalimbali za mawasiliano, ikiwemo mitandao yetu ya kijamii, makundi ya WhatsApp pamoja na SMS, ili kuwawezesha wateja kujipanga mapema.

Iwapo hupokei taarifa hizo, tunaomba radhi na ututumie namba yako ya simu pamoja na taarifa ya wilaya unayoishi kupitia Inbox yetu, ili tukuunganishe na kundi sahihi la WhatsApp. Aidha, unaweza kupiga "180", Huduma kwa Wateja TANESCO, bila malipo na kuomba kuunganishwa.

Kupitia makundi yetu, utapata taarifa kwa wakati kuhusu matengenezo na kusitishwa kwa huduma. Pia, endapo kutatokea hitilafu ya ghafla, unaweza kutoa taarifa mapema ili wataalamu wetu waweze kuchukua hatua stahiki.

Iwapo unakumbana na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo lako bila taarifa, tafadhali tujulishe eneo unaloishi ili taarifa hiyo iweze kufanyiwa kazi na wataalamu wetu.

Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunathamini uvumilivu na ushirikiano wako. Asante. ^PK
Ahsante sana kwa ufafanuzi. Taarifa zenu ninazipata sana lakini hazinisaidii kutatua changamoto ya kukosa umeme. Ni taarifa kama ile ya nesi anaetaka kukuchoma sindano, taarifa ambayo haipunguzi maumivu ya sindano.

Sisi tuliambiwa baada ya bwawa kukamilika kukatika kwa umeme mara kwa mara itakuwa historia, na bei ya umeme itakwenda chini ajabu. Lakini sasa hivi kukatika kwa umeme kumezidi kuliko hata kabla ya bwawa kufanyakazi. Nani huyo anasababisha hitilafu za umeme kila siku mtaa uleule, kijiji kilekile, kata ileile na wilaya ileile mara kwa mara? Kwa hapa Dar shida ni nguzo, waya, transformer au kitu gani ambacho kila wakati mnasema eneo hilo litakosa umeme. HIyo hapana kwakuwa wakati mpira unaanza kuna umeme baada ya dk 35 umeme unakatika na baada ya nusu saa umeme wa tanesco unarudi. Hii ni nini?
 
`
Habari ndugu mteja,

Asante kwa mrejesho wako na kwa kuelewa utaratibu wetu wa utoaji wa taarifa. Kwa kuwa umetueleza kuwa bado unakumbana na changamoto ya kukatika kwa umeme nje ya taarifa tunazotoa kwa wateja wetu, tafadhali tunaomba utueleze eneo unaloishi kwa kutaja mkoa, wilaya na kata/mtaa, ili tuweze kufuatilia suala hilo kwa undani zaidi. Unaweza ukatutumia taarifa kupitia ukurasa huu, inbox au ukapiga huduma zetu wa wateja, 180, bure.

Baada ya kubaini chanzo cha tatizo na hatua zinazohitajika kuchukuliwa, tutakurejea kwa taarifa zaidi au msaada unaohitajika.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza na tunakushukuru kwa ushirikiano wako. ^CM
 
Waache tu. kautafiti nilikokafanya kameonyesha kuwa 89% ya watu wanaotunza na kulea watoto/wajukuu wao kwa fedha ya wizi wa mali ya umma watoto/wajukuu wao hao ama wataishia kubwia madawa ya kulevya, kufeli shule au kufa kwa ajali, magonjwa ya ghafla, na hatimaye kuuza mali hizo ndani ya miaka 5 tangu wazazi wao hao kufa. Fedha ya wizi na dhuluma usiitumie kulisha familia yako, unawaachia balaa la kupitiliza kizazi na kizazi.
Neno linasema anayepata mali ya wizi anailetea fsmilia yake matatizo. Methali 15:27
Whoever is greedy for unjust gain troubles his own household, but he who hates bribes will live.
 
`
Habari ndugu mteja,

Asante kwa mrejesho wako na kwa kuelewa utaratibu wetu wa utoaji wa taarifa. Kwa kuwa umetueleza kuwa bado unakumbana na changamoto ya kukatika kwa umeme nje ya taarifa tunazotoa kwa wateja wetu, tafadhali tunaomba utueleze eneo unaloishi kwa kutaja mkoa, wilaya na kata/mtaa, ili tuweze kufuatilia suala hilo kwa undani zaidi. Unaweza ukatutumia taarifa kupitia ukurasa huu, inbox au ukapiga huduma zetu wa wateja, 180, bure.

Baada ya kubaini chanzo cha tatizo na hatua zinazohitajika kuchukuliwa, tutakurejea kwa taarifa zaidi au msaada unaohitajika.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza na tunakushukuru kwa ushirikiano wako. ^CM
Safi sana, nitafanya hivyo mtumishi. Shida iko Ilala: banana, gongo la mboto, majohe na moshi bar.
 
Ndugu mteja, asante sana kwa mrejesho wako. Tunaomba sasa tufanye ufuatiliaji juu ya swala lako na kukurudia.

Asante. ^FL
 
Back
Top Bottom