kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #21
Ahsante. Huku tulikofikia sasa katika nchi yetu umeme ni uhai na mhimili mwingine wa dola.Ndugu mteja, asante sana kwa mrejesho wako. Tunaomba sasa tufanye ufuatiliaji juu ya swala lako na kukurudia.
Asante. ^FL
Hata pale kariakoo, kufanya biashara kwa masaa 24 kutategemea uhakika wa umeme, la sivyo vibaka watatamba sana kama katikati ya usiku mnene umeme madukani na mitaani utazimika ghafla katikati ya shughuli.