Ahsante. Huku tulikofikia sasa katika nchi yetu umeme ni uhai na mhimili mwingine wa dola.Ndugu mteja, asante sana kwa mrejesho wako. Tunaomba sasa tufanye ufuatiliaji juu ya swala lako na kukurudia.
Asante. ^FL
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu.Nimefurahishwa na respond ya TANESCO .
Big up!
Swali moja halijajibiwa la punguzo la bei baada ya Bwawa la Mwl Nyerere kukamilika.
Majibu tafafhal
Wewe ni Mimi haswaaHii tabia ya kuwaamini wanasiasa itawasumbua sana ndugu zanguni. Siasa ni uongo uliochanganyikana na wizi, utapeli, ufisadi, propaganda, uuaji, utesi na kila aina ya dhambi unayoijua.
Wanasiasa wote 🗑️🗑️🗑️
Noted and well said.Ndugu Mteja,
Asante kwa kuwasiliana nasi. Tumewasiliana na ofisi inayohusika na eneo ulilolitaja, na tumefahamishwa kuwa eneo hilo liliwahi kukumbwa na changamoto ya umeme wa kiwango cha chini (low voltage), ambayo tayari ilishapatiwa ufumbuzi hivi karibuni.
Kwa sasa, changamoto za huduma zinazotokea katika eneo hilo ni zile zinazotangazwa rasmi, zikiwemo matengenezo yaliyopangwa, hitilafu au dharura za umeme.
Hata hivyo, ikiwa bado unakumbana na changamoto ya huduma katika eneo lako au pamoja na majirani zako, tunaomba utupatie taarifa kamili za eneo unaloishi. Taarifa hizo zitasaidia ofisi husika kuwafikisha wataalamu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kutoa msaada unaohitajika.
Unaweza kuwasilisha taarifa kupitia ukurasa huu kwa kutuma ujumbe wa faragha (Inbox), au kuwasiliana na Huduma kwa Wateja kupitia namba 180, bila malipo.
Tunakushukuru kwa uvumilivu, ushirikiano na kuendelea kutumia huduma zetu.
Asante sana. ^FL
Tunafahamu kuwa kuna lines zilikuwa na nyaya na nguvu chakavu zilizohitaji kubadilishwa na huwezi kubadilisha nguzo, nyaya na transformer wakati nyaya na nguzo hizo zina moto (umeme).Kuna mjinga mmoja alisema bwawa la Nyerere likikamilika umeme kukatika itabaki historia na watasoma wajukuu zetu siku zijazo katika somo la historia shuleni.
Tuna baadhi ya viongozi ni wapumbavu sana, na mbaya zaidi sio wazalendo.
Napata elimu hapaKuna mjinga mmoja alisema bwawa la Nyerere likikamilika umeme kukatika itabaki historia na watasoma wajukuu zetu siku zijazo katika somo la historia shuleni.
Tuna baadhi ya viongozi ni wapumbavu sana, na mbaya zaidi sio wazalendo.