Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Kumbe na hangaika na lisingo maza,kumbuka singo maza huzaa singo maza pia,kama unataka kuwaokoa wanao ,wapeleke wakalelewe na wajomba zao,maana malezi ya singo mama huwa yamekaa kaa kimalaya malaya kujiuza

Huyo irene mmewe alifariki,unataka afanyaje
Acha kuwasemea watu vibaya
Hata kwenye ukoo wako wapo single mother wa kutosha
Na palipo na single mother kumi jua kuna single father kumi pia upoo
 
Mnavyomsema mtoto wa mwenzenu vibaya huku nanyi mna watoto pia kumbukeni
Tuache negativity
 
Kila mtu aishi na familia yake maswala ya kijamaa tumeshapita sasa hivi tuko kwenye ubepari wewe mlee mwanao vile inavyopasa wewe unavyoona akikuwa atachagua yeye afwate yako au ya ulimwengu full [emoji281]
 
Small minded buffoons.

Wanamkosoa hadi Mungu.

Mtoto kuwa handsome imekuwa shida.
Yaan eti mtoto akiwa mzuri oooh atakuwa shoga,hayo kwani mashoga wote wana sura nzuri kina kaoge walikuwa na sura mbaya,
Halaf kumnenea mabaya mtoto wa mwenzio kuhukumu tu kutokana na muonekano tu, utafikiri kazalia tanzania nzima akii
 
Naunga mkono hoja, angeishia tu kusema malezi ya wazazi wawili ni muhimu sana, lakin si kumwombea mtoto kujisahau kuwa ni mwanaume

Hii siyo sawa hata kidogo kumchulia mtoto asiye na hatia.

Anaweza kuharibika mtoto wake yeye mwenyewe
 
You lack the capacity to put up a decent argument without negativity, pre conceived notions and hateful comments.

I am therefore unwilling to be dragged into your BS or stoop to your level.

Am out.
 
Naunga mkono hoja, angeishia tu kusema malezi ya wazazi wawili ni muhimu sana, lakin si kumwombea mtoto kujisahau kuwa ni mwanaume

Hii siyo sawa hata kidogo kumchulia mtoto asiye na hatia.

Anaweza kuharibika mtoto wake yeye mwenyewe
Pamoja Mkuu.

Wakiishiwa hoka wanakuja hapa na matusi.
 
Naunga mkono hoja, angeishia tu kusema malezi ya wazazi wawili ni muhimu sana, lakin si kumwombea mtoto kujisahau kuwa ni mwanaume

Hii siyo sawa hata kidogo kumchulia mtoto asiye na hatia.

Anaweza kuharibika mtoto wake yeye mwenyewe
Wangapi tumeona watoto wa mashekhe na wachungaji wameharibika
 
Yaan eti mtoto akiwa mzuri oooh atakuwa shoga,hayo kwani mashoga wote wana sura nzuri kina kaoge walikuwa na sura mbaya,
Halaf kumnenea mabaya mtoto wa mwenzio kuhukumu tu kutokana na muonekano tu, utafikiri kazalia tanzania nzima akii
Mleta mada hajaeleweka, tatizo sio uzuri ila mama yake anampamba sana
Wengine wanafikiri mleta mada anataka mtoto ateswe ili kukomazwa hapana, kuna maisha mtoto anatakiwa akuzwe ili ajitambue yeye jinsia gani, kwani mtoto hawezi kupendezeshwa bila marembo ya kike? Au usipompaka lipshine utakuwa unamnyanyasa na kumtesa?

Wanawake huwa mnaharibu watoto kimasikhara sana
 
Wangapi tumeona watoto wa mashekhe na wachungaji wameharibika
Wachungaji na masheikh wana laana zao tu, tunawaona wasafi machoni ila gizani ni wachafu kuliko wapagani kwahiyo uzao wao ni kama Mungu anawaadhibu

Kwahiyo nao hawana utakatifu huo ni kama wewe tu, nao hufeli kulea kama anavyofeli uwoya
 
Issue ya huyu dogo inataka Kulingana na paula wakati watu wanamnyoshea kidole wanawake wengi walikua upande wa mama na kumvimbisha kichwa kwamba amlee mtoto vile anataka yeye sasahiv mambo yameharibika waliokua wanamsifia ndo wanaongoza kwa kumnyooshea vidole kwamba amemlea mtoto vibaya
 
Dogo kakaa kike tu .acha wahuni waje waji vunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…