Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Nilishaapa sitaachia mwanamke malezi

Hasa mnaoandika vizungu vizungu uchwara akili zenu ziko magotini
Watoto wengi wamelelewa na mama mmoja tu na wamekua vyema tu ,kina baba asilimia kubwa hukimbia familia
 
Hata Kajala watu waliongea hivi hivi leo Harmonize ameshatomber haswa... Rayvanvy ameshapiga haswaa.

Matajiri kibao wameshajitombair Tena kuanzia kikiwa form 2. Kinauza papuchi Kama hakina akili nzuri na mpaka baba Yake imefikia hatua amekikana.


Na waliokuwa msitari wa mbele kumtetea kajala amlee mwanae anavyojisikia leo wako kimya.


Ni suala la muda tu.
 
I feel sorry for the kid

These women know nothing in men world

Na Ile clique ya maza ake ndio utata mtupu .

Ok time will tell .

Wanawake wapungeze emotional waangalie uhalisia that kid a boy he supposed to the future man, not all Boyz become MEN .

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila mtu ni mzima waakili wengi wao ni vichaa kwa hiyo usishangae mkiona watu wengi wanaambulia kuongea upupu sio kila mtu anamali kuna watu wana mavi au maji.
 
Huu Uzi usipofutwa tutautumia Kama reference miaka ijayo the future is exciting ,

Nyie endeleeni kuoneshana umwamba wa kutype

Sisi tunangoja muda utasema vizuri barabara!! Ndio tutajua Nani Ni mkuda na Nani ni mchimbachumvi

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Afanye yote, Ila asifikie hatua ya kubadilisha au kuvaa nguo mbele ya mtoto.
 

Dada kuwa makini na malezi,unavyoongea ni kama mtoto hana hisia zozote za kimapokeo kipindi cha makuzi. Ubongo wa mtoto unapokea na kuhifadhi vitu bila kufanya upembuzi,kitu ambacho ni kibaya sana huko mbeleni. Nilishawahi msikia huyu Irene akilalamika dogo anataka kuambatana nae kila mahali,mpaka ikafika hatua anakasirika akitamani acheze na wenzake lakini dogo hataki.
 
Hiyo ni separation anxiety.

Anyway soma uliponi quote uelewe nilichoandika.
 
Nashukuru,sijui chochote,wewe unajua zaidi
Separation anxiety huwa inatokea pale mama na mtoto wanapokuwa so close hivyo basi kumsababishia mtoto ugumu wa kutengana na Mama yake

I hope umenielewa.

Of course kuwa hiyo age haikutakiwa iwe so evident but sio kigezo Cha kumshambulia mtoto.
 
Separation anxiety huwa inatokea pale mama na mtoto wanapokuwa so close hivyo basi kumsababishia mtoto ugumu wa kutengana na Mama yake

I hope umenielewa.

Of course kuwa hiyo age haikutakiwa iwe so evident but sio kigezo Cha kumshambulia mtoto.

Asante,nimegundua nilikuwa nawafuga wanangu,sasa nitaanza kuwalea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…