Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

ila huyo irene huwa namfeel sana toka zamani nilikuwa nasikia wivu sana enzi zile H Baba anakula..
mi huwa nikiangalia muv zake akiongea tu ile sauti yake huwa nadisa.
Ndugu una hela ya kumnunulia maziwa ya kuoga? Naskia anaogea maziwa tu
 
Nani kamuombea mabaya zaidi ya kushauri mtoto apatiwe baba?
hao mababa ndo mabazazi kwisha kazi, tuache kumnenea mtoto mabaya jamani hakuna mtu anaweza kumpenda huyu mtoto zaidi ya mama yake waja ebu mumwache
 
Ninesoma comments naoma wanawake wanafurahia muonekano wa mtoto kwamba amefanana na mama so ni handsome hilo ni sawa ila uhandsome sidhani kama ni muonekano wa kike pia wanaume tunachoona ni kuwa hata kama anamuonekano wa kike basi awe na malesi ya kiume hiyo kumvalisha na kumremba kama mwanamke sidhan hata kama baba yake angekuwepo angekubali hayo na pia nyinyi wanawake manaotetea jinsi mtoto anavyowekwa inhalikuwa ni wadogo zenu wakiume mngeona ni sawa jinsi mtoto anavyolelewa ofcourse mtoto hana shida ila njia anayopitishwa anaweza kuja kuamini ndio sawa na kuendelea nayo na wenzie ndio watamfanya andelee nayo huko shulen na mitaan mwishonwa siku wataanza mchezea kidogo kidgo mwishowe aharibike mnaanza kimbilia ustawi wa jamii kuomba msaada achen kuendekeza upvmbav
 
Bitter truth.

Huyo mtoto anaelekea kua mchele mchele.

Wazungu wanasema " We have a situation here"

Indeed, we have.

Yes, he is just a kid anayelelewa kwenye mazingira hatarishi. No one is cursing here.

Samaki mkunje angali mbichi. Huyo akienda boarding wenzio watakua wanashika matako huku anacheka cheka. Na kesema 'where is mamiiii'

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu mmoja anapiga ngeli humu. I wish angeniazima next week nitimbie kwenye interview NGO flani hivi. Sema ndio hivo nitatimba na hii hii yenye plasta plasta..
Mimi Jana nimepitia hii uzi nikaona wanachobishana sielewi nimerudi sasa nadikshonali pembeni labda ntapata kuelewa kilichokuwa kinazungumzwa.[emoji58][emoji58]
 
Wenzie hao labda munaowazaa nyie hawana maadili kutokana na munavyowafundisha kwamba kushikana matako ni Sawa.

Una proof ganii kuhusu malezi ya huyo mtoto?

Are you judging from the pictures on social media?

Yaani ndie mnaojiitaga majina ya akizingua na mkatupia kasentensi ka English mnakokariri kwenye movies shida kweli.
 
Ma uncle ndo mabasha wenyewe wacha aendelee kumlea mwenyewe tu
 
Nakubaliana na wewe.

Kupiga chwaa chwaa wazungu hawa hakumaanishi sasa unaweza kuwa baba.

Not all men are meant to be fathers and vice versa is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…