Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje?
Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF mnaweka habari zake ambazo nazo hazina uzito wala tija. Tanzania maskini hakuna Rais.