Tatizo la akili, upeo na maarifa.
Kwa akili yake kukiwa na tatizo la barabara, anaanzisha wizara ya barabara, anaona amemaliza tatizo; kukiwa na tatizo la umaskini, anaanzisha wizara ya utajiri, anaona amemaliza tatizo; kukiwa na shida ya njaa, anaanzisha wizara ya shibe, halafu anaamini amemaliza tatizo!!
Kwa kweli taifa lipo kwenye laana ambayo haijawahi kutokea. Akili hakuna anachojua ni kuua tu!! Sijui ukosefu wa akili una mahusiano gani na roho ya mauaji. Ukifuatilia historia, watu wengi wasio na akili, walipopewa utawala waligeuka kuwa wauaji.