Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Bali Ina jimama la uswahilini lililokuzwa na taarabu, huku kichwani likiwa limejaza fikiria za uswahili.Tanzania maskini hakuna Rais.
Aulizwe, analiponya magonjwa gani au majeraha gani? Afafanue kinaponyeshwa kitu gani na hicho kinachoponywa kimesababishwa na nini au kimesababishwa na nani?Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje?
Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF mnaweka habari zake ambazo nazo hazina uzito wala tija. Tanzania maskini hakuna Rais.
Samia ni sawa na yule ndege anaficha kichwa kwenye mchanga kiwiliwili kiko nje. Samia na Madelu wanafanya propaganda za mwaka 61. Vijana wanahitaji majibu ya changamato zao sio stori za nanauka.Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje?
Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF mnaweka habari zake ambazo nazo hazina uzito wala tija. Tanzania maskini hakuna Rais.
Jitu jinga unategemea nini?Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje?
Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF mnaweka habari zake ambazo nazo hazina uzito wala tija. Tanzania maskini hakuna Rais.
Swala hili alipaswa kuulizwa Magufuli na sasa hayupo. Mwingine yeyote atakuwa anapiga ramli tu.Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais.
Kwa kupigiwa kura na wananchi.Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge?
Ndo maumbile ya Mwenyezimungu. Munalingana kwa hili kwani hii comment ni kielelezo tosha cha hilo.Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty?
Uvuvi mkubwa utajiri bwashee.Bali Ina jimama la uswahilini lililokuzwa na taarabu, huku kichwani likiwa limejaza fikiria za uswahili.
Mke wa tatu wa mvuvi Hafidh Ameir.
Mpaka unajiuliza aliwezaje kuwa Makamu wa Rais. Sasa anasema ameanzisha Wizara ya Vijana kuliponya Taifa. Kuliponya na nini? Na hiyo Wizara inaponyaje?
Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? Bila shaka ndiye alisema na JF isifunguliwe. Na inashangaza JF mnaweka habari zake ambazo nazo hazina uzito wala tija. Tanzania maskini hakuna Rais.
Hivi awamu zilizopita hakukuwa na wizara inayohusika na vijana?Kwa akili yake kukiwa na tatizo la barabara, anaanzisha wizara ya barabara, anaona amemaliza tatizo; kukiwa na tatizo la umaskini, anaanzisha wizara ya utajiri, anaona amemaliza tatizo; kukiwa na shida ya njaa, anaanzisha wizara ya shibe, halafu anaamini amemaliza tatizo!!
Swala hili alipaswa kuulizwa Magufuli na sasa hayupo. Mwingine yeyote atakuwa anapiga ramli tu.
Kwa kupigiwa kura na wananchi.
Ndo maumbile ya Mwenyezimungu. Munalingana kwa hili kwani hii comment ni kielelezo tosha cha hilo.
Ukimuoneshea mwengine kudole kimoja, vitatu vinarejea kwako; kwa maana huyo mtoto unayemzungumzia، ndo wewe. Sasa baada ya kukosa hoja unakuja na kejeli.Huu uandishi wako wewe utakuwa ndo yule mtoto wake Naibu Waziri. Hujui kuandika na kichwani unaonekana umejaza makamasi tu.
Hii comment akiisoma atakasirika sanaa 😁Bali Ina jimama la uswahilini lililokuzwa na taarabu, huku kichwani likiwa limejaza fikiria za uswahili.
Mke wa tatu wa mvuvi Hafidh Ameir.
Kaka ndege SALAMALEKO ndugu yangu.Anaandikiwa hotuba na Lucha.
Hii kusheherekea siku ya birthday na kukata keki anafanya siku rasmi ya mapumziko kwake, kwa timu yake na wanafunzi walio hilo eneo. Huwa naonaga hsyupo sawaSwala hili alipaswa kuulizwa Magufuli na sasa hayupo. Mwingine yeyote atakuwa anapiga ramli tu.
Kwa kupigiwa kura na wananchi.
Ndo maumbile ya Mwenyezimungu. Munalingana kwa hili kwani hii comment ni kielelezo tosha cha hilo.
Mkuu; hii ina mnasaba na hoja tunayoijadili? Kama haina, tengeneza uzi wake.Hii kusheherekea siku ya birthday na kukata keki anafanya siku rasmi ya mapumziko kwake, kwa timu yake na wanafunzi walio hilo eneo. Huwa naonaga hsyupo sawa
Birthday haiwezi kuwa tukio kubwa kama yeye afanyavyo