Ni nani huwa anamwandikia Samia hotuba? Naona anaboronga tu

Don't waste your time listening to her
 
Kwani umakamu wa rais na urais unahitaji D ngapi zaidi ya kujua kusoma na kuandika?
Ipo siku kikarunguyeye au musukuma atakuwa rais wako na mambo yataenda vizuri tu.
 
Inahusiana sababu thread inahusu uwezo wa raisi kiakili.
Hapo ndio hoja kama hizi za sherehe za birthday huingia.
Mada inazungumzia anayemwandikia hotuba. Kumbuka tu kwamba hata kuna mmoja akadiriki kusema kwamba anayemwandikia ni Lucha. Nadhani umeiona.
 
Ndio huyo huyo. Ongezeni na sifa zingine mbaya zaidi but haitobadili kuwa kwa sasa Samia ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu japo hatukumchagua. Kumkashifu hakusaidii.
 
Bali Ina jimama la uswahilini lililokuzwa na taarabu, huku kichwani likiwa limejaza fikiria za uswahili.

Mke wa tatu wa mvuvi Hafidh Ameir.
Tukaneni weeee mwisho wa siku hamna mnachoweza kubadili
 
Mada inazungumzia anayemwandikia hotuba. Kumbuka tu kwamba hata kuna mmoja akadiriki kusema kwamba anayemwandikia ni Lucha. Nadhani umeiona.
Kuna title na kuna content, content ya uzi ililenga uwezo wake kiakili.

Soma vizuri content, Nakuwekea nukuu chache za hii thread "...Huyu ilikuwaje akawa hata Mbunge? Mbona mwepesi sana upstairs? Yaani empty? .....

Naamini sasa umeelewa thread inahusu nini. Aliyeweka thread anahoji huyu raisi mbona mwepesi upstairs (kichwani), yaani empty.
 
Ndio huyo huyo. Ongezeni na sifa zingine mbaya zaidi but haitobadili kuwa kwa sasa Samia ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu japo hatukumchagua. Kumkashifu hakusaidii.
Mkuu watu na dini zao miaka yote wamekua wakimkemea shetani na kumlaani. Lakini shetani bado yupo, hiyo inamaanisha wakristo kwa waislamu pamoja na Mungu wanayemuabudu amemshidwa shetani?
 
Sasa kukata keki na kukosa akili kunahusiana? Wewe/mtu anapokata keki huwa hayuko vizuri upstairs? Wakati mwingine mihemko inamfanya mtu atokwe na akili.
 
Sasa kukata keki na kukosa akili kunahusiana? Wewe/mtu anapokata keki huwa hayuko vizuri upstairs? Wakati mwingine mihemko inamfanya mtu atokwe na akili.
Kuna viashiria vya kutokua sawa upstairs, mojawapo ndio hiko nimekueleza kiongozi kusafirisha mamia ya watu kutoka sehemu tofauti, kufunga shule kwa wanafunzi ili tu wakakate keki ya birthday
 
Wewe ndio uko empty mkuu,

Yaani umechukua ka mstari kamoja kwenye hotuba yenye page kadhaa ukakaanzishia uzi na kuanza kuhukumu watu.
 

Wewe ni mtoto wake yule naibu waziri kama mama kama binti. Wote shule hamna.
 
Mkuu watu na dini zao miaka yote wamekua wakimkemea shetani na kumlaani. Lakini shetani bado yupo, hiyo inamaanisha wakristo kwa waislamu pamoja na Mungu wanayemuabudu amemshidwa shetani?
Watu wa dini zote hawashughuliki kumwondoa shetani kwa kuwa wanajua haiwezekani ndo mana wanaishia kumlaani tu shetani. You mean hata Samia ndo tutaishia kumlaani tu kama shetani?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ. Ila we jamaa πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Tukaneni weeee mwisho wa siku hamna mnachoweza kubadili
Mkuu,Hamna Watanzania wanachoweza kubadili??Mbona tayari mnalipia PR ,tena Kampuni ya Marekani ili isafishe mambo.Watanzania hawa mnaowaogopa na tumia propaganda kibao kuwagawa,kutengeneza vyama vya upinzani fake,na stress kibao wanazowapa unasema hawana wanachoweza kubadili??Watanzania hawa wanasababisha mpaka muombewe na Juju man kama Mwamposa hadharani unasema hawana wanachoweza kubadili?Mambo yameshabadilika kwa kiasi kikubwa sana,Wenyewe wanafahamu hilo
 
Bali Ina jimama la uswahilini lililokuzwa na taarabu, huku kichwani likiwa limejaza fikiria za uswahili.

Mke wa tatu wa mvuvi Hafidh Ameir.
Subhanalah waastakafirulah
 
Bali Ina jimama la uswahilini lililokuzwa na taarabu, huku kichwani likiwa limejaza fikiria za uswahili.

Mke wa tatu wa mvuvi Hafidh Ameir.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…