Ni nani huwa anamwandikia Samia hotuba? Naona anaboronga tu

Mafwele na Murilo.
Ambao ufaulu wao katika mtihani wa lugha f4 ni daraja F.
 
Chizi Maarifa katika ubora wake wa kukariri!!

Sheikh wangu si ndo tunafundishwa hivyo mpaka kunakuwa na MASHINDANO YA KUKARIRI. AU UMESAHAU? YAPO HAYO KILA MWAKA YA KUKARIRI QURAN. SO NATIMIZA WAJIBU HUO.
 
Sheikh wangu si ndo tunafundishwa hivyo mpaka kunakuwa na MASHINDANO YA KUKARIRI. AU UMESAHAU? YAPO HAYO KILA MWAKA YA KUKARIRI QURAN. SO NATIMIZA WAJIBU HUO.
Chizi Maarifa; .
Ndo maana nakupongeza kwa hilo. Endelea tu.
 
Wenda ni Msukuma, yule mwekezaji anaonekana yupo na akili 100000, zaidi ya msukuma , nyie wabunge wa mchongo wa ccm mjue huko majimboni kuna watu wanajitambua kuliko nyie vilaza.

Alafu wewe waziri hisani wa Tamisemi juu ya kauli zako kwa mwekezaji ,unatakiwa jiuzuru mara moja , kwanza hukuchahuliwa na wananchi ,alafu unakuja na vitisho kwa mwekezaji tena ambae ni mzawa,

Hati wizara ninayo iongoza haitachezewa ,who are you , wewe wapi katika maisha yako umewahi wekeza ? Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…