Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!


Marekani huwezi zuia hizo ndege maana haipo Jumuia ya Madola!

Canada unaweza maana shauri lilikua SA kwahiyo Canada ikawa ni muendelezo!

Hizo sababu zako za kuvujisha siri ni za kipumbavu!

Kuna siri kwenye biashara za kimataifa?

Hizi sio nyanya sokoni!
 
Isije kuwa kuna mtu anatafutwa ale pyu pyu pyu! Maana wanasema ukitaka kumuua mbwa mwite jina baya. Na mtu mwite msaliti!
 
Naona kuna hujuma sana hapa, lkn ukweli pambana tu Tanzania ili upigwe vita, hakuna kukata tamaa.

Najua wengi hawapendi tunakoelekea ndo common system ya Dunia hii.
 
Una hasira sana!
 
Keaninsi magufuli mwenyewe anatangazaga bado anazo zingine zinakuja na yeye ni tajiri kwanini mkulima asizifuate? Mwaka huunwa kumpiga risasi hayupo
Mwenye nini ndege au? Sijaelewa vizuri mkuu
 
Kama mtu una tabia za kujimwambafai mwambafai eti hii nchi ina hela sana mara hii nchi ni tajiri sana unategemea anaekudai atafanyaje
Magufuli haongeagi anayoyatenda wala kuyaamini,nasikitika tu kwamba ongea ongea yake inaharibu fikra za wanyonge wetu na matokeo yake ni kuharibu nchi yetu.Mfano kawalisha Matango wadanganyika kwamba WASOMI ndo wanaoharibu nchi yetu.huku mtaani wanyonge wanaamini hivyo,sasa utashangaa anavyowatoa serikalini wenye vyeti feki,kwa mtu anayezungumza kile anachokiamini tulitakiwa kumuona akikumbatia wenye vyeti fake ( yaani wale wanaojiita wasomi wakati hawakusoma) na kuwaondoa wasome halisi ili wasiendelee kuharibu nchi yetu.Pale UDOM kasema hataki vya bure wakati huo huo akiwa amepokea degree ya bure hahahahah
 
Ambayo serikali inashindwa kujua ni kwamba kila ndege inapokamatwa ndivyo watu wanavyoona ilivyo risk kubwa ya kusafiri na atcl,so by the time tunakumbuka kulipa deni hakuna mwenye interest tena ya kusafiri na ndege za atlc nje ya Tanzania
 
Una hasira sana!

Ni rahisi sana kusema “una hasara sana” kuliko kutoa hoja za kupinga hoja niliyotoa!

Ni kama mimi niseme,una hasara sana!

Ni rahisi kusema hivyo sababu umekosa majibu!

Ungekua na majibu usingesema “una hasara sana”!

Ungetoa hayo majibu!
 
Na Mimi nikiwemo na Safari hii lazima mlipe wezi wakubwa nyie
Tulia uongozwe maana najua kinachokupa hasira ni kuongozwa na wanaokuongoza otherwise nchi yako unaipenda na hutaki ichafuke' ila sasa kama huwezi kuchukua madaraka tii mamlaka tu na kuchekelea mali zetu kushikiliwa hakuta kupa mamlaka.
 
Hasira!
 
Lipeni Madeni ya Watu acheni kuwalaumu Watu,. Kwani hiyo ndege safari Zake hazijulikani.
 
Ambayo serikali inashindwa kujua ni kwamba kila ndege inapokamatwa ndivyo watu wanavyoona ilivyo risk kubwa ya kusafiri na atcl,so by the time tunakumbuka kulipa deni hakuna mwenye interest tena ya kusafiri na ndege za atlc nje ya Tanzania
Ninavyoona Styne anachofanya ni kuharibu tu biashara za TZ(ATCL) lililotokea South Africa hakuna Mtalii ambaye atabook ATCL,maji yashakorogeka MAGU amlipe Styne fedha zake tu hakuna namna otherwise hizo Airbus na Dreamliner zitafanya safari za chato na dodoma.
 
Prof Kabudi kachanganyikiwa.Kila nchi ina utaratibu wake wa sharia .Statute chanzo cha tatizo.ndio maana watu wanahifadhi pesa ask Swiss sio Somalia.Canada n.a. Marekani kila nchi ina sheria zake.Awaulize Nigeria walivyo katwa reserve Yao n.a. Mahakama ya Uingereza
 
TL
 
Nakumbuka balozi wa Tanzania nchini Canada alifukuzwa na kuvuliwa hadhi ya ubalozi. Alionewa sana. Naomba arudishiwe hadhi yake na pension yake apewe. Ubabe haufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…