Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

"hiyo kitengo ni pesa tupu, "Ili nikupendekeze Uwaziri weka mil 100 katika acc"
Nyakati zimebadilika sana

Hakukuwa na hela ya kutosha Tanzania kumpa Chief of Staff Joseph Butiku
apenyeze jina lako kwa Julius Nyerere uwe Waziri.



hawa wa sasa hata body language na kofia zinatangaza
"we are open for business" ukitaka kumwona Rais
 

 
Elimu yake twafadhali , sheikh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…