Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Anasema umejifungua upo martenity Leave.
Hanaga akili .akivuta mibangi yake anamuona kila mtu ni jinsia ya kike. Nahisi hata baba yake anamuona ni mwanamke 😀😀😀😀Nimemshauri sana aachane na mibangi anayovuta kama kichaa.
 
Hotuba za kisekta huandaliwa huko katika sekta husika kama draft, inaletwa, inapitiwa na wataalam wa sekta hiyo ikulu, yeye labda ataweka vikorombwezo tu. Hawezi kujua undani wa kila jambo la kila sekta
 
Mwashamba kwa sasa kaajirawa na makonda ili kumsifia muda wote ktk mitandao!
Mchana na usiku ni kumsifia makonda hadi kubadilisha ID ili tu ionekane watu wengi wanamsifia makonda kumbe ni yeye anafanya yote! Njaa kitu mbaya sana! [emoji1787] [emoji1787]
Omba ibakie tumboni isihamie kichwani.

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Na ukiona kiongozi mkuu anatapeliwa kwa style hii (kama ilivyokuwa kwa Mobutu) ujue hakuna kitu hapo!
Yaani hao wanakufanyia hivyo kwa vile tayari wanakudharau nawe unachekelea kudhani uko level moja na Mungu.
Haya ndio yale ya JK alivyoishia kufedheheshwa msibani Monduli akajikuta kajikunyata kama kuku mwenye kideri

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Walimfanyaje mzee jk daah! Imenipita hiyo mkuu
 
Baba yake ni kutoka Kizimkazi,mama yake ni mtu wa Morogoro.
Amesoma Degree yake kutoka Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro.
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.

Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika masuala ya utawala na serikali.

Huyu ndiye mwandishi wa hotuba za Rais, hivyo Rais siku akipatia credit ziende kwa huyu mwamba na akiskosea pia ni hivyohivyo.

Kwasasa viongozi wengi hasa wabunge wamekuwa wakimpost huyu jamaa kupitia mitandao yao ya kijamii ili tu kuweka mazingira yao ya kisiasa vizuri.

Mwenye CV anaweza kuleta ili tunjue kwa undani.View attachment 2909032View attachment 2909033View attachment 2909034

Back
Top Bottom