Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Nafasi hii itachukuliwa na Lucas Mwashambwa ambaye amekwisha iva na ameongeza jina la katikati kama ajira inavyotaka.
 
Upumbafu mtupu. Amelaaniwa mtu amtegemeaye mwanadamu huku moyoni mwake amemwacha Mungu
 
Chawa wa JF wanafeli wapi sasa kama tayari wameshapewa hadi jina la connector wa teuzi.
 
Kumbe haka ndo kanampoteza bi chura the deaf!
 

Naona Maza kapuga Ushungi wa ACT Wazalendo.
 
Hiyo tarehe 7 /09 nataka niwe mwonjanji chakula cha MAMA.nafanyeje niitwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…