Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Huyu ndo anayeandika hotuba za raisi?kwaio hata ile hotuba ya sherehe za police aliandika yeye?
 
Bora kafiri anaye chukiwa na waarabu na mabeberu mafisadi kuliko muisiharamu anaye pendwa na mabeberu ya NATO chunguza ni marais gani upendwa na mabeberu nchini ...
Kwa hivyo kwako Mtu kuchukiwa na watu hao ni kwa sababu za kiimani na si vingine!!
 
Kwa hivyo kwako Mtu kuchukiwa na watu hao ni kwa sababu za kiimani na si vingine!!
Mbona umesoma kama umefulumuka kutoka chumbani mwa P DIDDY ..NIMESEMA KUCHUKIWA NA MABEBERU MAFISADI NA WAARABU MAFISADI YAANI KUKUELEWESHA KOTE AMJAELEWA ...UFISADI NI MOJAWAPO YA MAMBO YA KIPUMBAVU
 
Mbona umesoma kama umefulumuka kutoka chumbani mwa P DIDDY ..NIMESEMA KUCHUKIWA NA MABEBERU MAFISADI NA WAARABU MAFISADI YAANI KUKUELEWESHA KOTE AMJAELEWA ...UFISADI NI MOJAWAPO YA MAMBO YA KIPUMBAVU
Umesema kweli mkuu kwani mimi si niliingia baada ya kutoka wewe? Mbona unajitia kuahau!

Baada ya utangulizi huo, sasa naeleza haya uliyoyaandika. Ulianza kwa kusema kwamba Waislamu hawafai kuongoza labda waongoze msikiti. Nami nikakubaliana nawe na nikasema Wakristo na makafiri, wao wanaweza kuongoza. Natarajia hili unalielewa pamoja na kwamba ulichukua muda mkubwa kwa P Diddy.

Wewe ukaja na maswala yako ya makafiri na waislamu wapumbavu na wenye akili; nami nikakuuliza hivi haya uliyaeleza awali? Wewe umekuja kubadilisha. Hivi ni nani kati yetu haelewi?

Nikuambie tu hapa tunajadili kauli yako ya kwamba waislamu hawafai kuongoza labda msikiti. Huenda umedanganyika kwa kauli za wadanganyifu, sasa tuendelee huenda tutaelewana huko tunakoelekea. Karibu tena.
 
Huyu atakuwa anamiliki yale majeshi ya watekaji nawauaji ndio maana alimuandikia ile hotuba kule CCP Moshi
 
Hanaga akili .akivuta mibangi yake anamuona kila mtu ni jinsia ya kike. Nahisi hata baba yake anamuona ni mwanamke πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Nimemshauri sana aachane na mibangi anayovuta kama kichaa.
Lakini mbona siku hizi umeacha kupost namba yako?
 
mrangi,
mimi sihusiki na masula binafsi ya yeyote, nadeal na masuala na mambo ya jumla ya kitaifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
Acha habari zako Makamba unadeal na masuala ya tumbo lako na familia yako tu
 
Kwa hiyo wewe unaona waislamu wanafaa kuwa marais ...baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
 
Kwa hiyo wewe unaona waislamu wanafaa kuwa marais
Kwenye hili wacha nirudie tena, kwani inaelekea una ugonjwa wa kusahau: Waislamu hawafai kuwa marais ila Wakristo na Makafiri ndio wanaofaa kuwa marais.
baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
Hakuna tatizo kwani lengo la babangu lilikuwa kunisomesha haijalishi ni kiumbe gani. Jee babako wewe aliuzq ng'ombe kukusomesha kumbe aliuza ng'ombe kusomesha punda? Sioni ajabu na unayomfanyia babaako kwani fadhila za punda ni mateke. Karibu sana.
 
Muislamu awezi kuwa rais bora hata siku moja huo ndiyo ukweli ninao kufunulia .wala sipepesi macho kwenye huu ukweli hata watoto wa familia za marais waislamu ndiyo wenye mambo ya ajabu ajabu kiserikali...watazame tatoto wa Nyerere...Mkapa...JPM kisha tazama mwinyi kikwete samia ....ule msemo wa mama kahaba baba fisadi mtoto anauza ngada jaribu kuufitisha kwa marais waislamu tulio kuwa nao na kwa marais wakristo utaona tofsuti wazi wazi
 
Sasa limekuja swala la rais bora? Hivi ubora ulioueleza umetumia vigezo gani? Kumbuka: Tunajadili mambo makubwa na muhimu na hatupo kwenye kilabu cha kunywa mbege. Weka hivyo vigezo na utueleze umevipata wapi. Vinginevyo endelea na mbege tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…