Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Huyo anaitwa Warsam kama sijakosea Waziri Salum ni Moja ya Machawa mama alowatoa kutoka Majalalani kama Professor Majalala
 
Katibu kiongozi
Huyo si Katibu Kiongozi.

Huyo ni Katibu wa Rais.

Katibu Kiongozi aka Katibu Mkuu Kiongozi ni Balozi Dr. Moses Mpogole Kusiluka. Huyu anaongoza Makatibu Wakuu wa Wizara zote. Huyu ni "Chief of Staff". Ndiye kiongozi wa waajiriwa wa serikalini.

Katibu wa rais ndiye huyu Waziri Salum Rajab. Huyu ni katibu wa rais tu.
 
Ni mara ya pili namuona akiwa pembeni ya Rais wetu kipenzi cha watu.

Naomba kumtambua huyu mtu ana wadhifa gani? .

View attachment 3162750
Screenshot_20241111-130504.jpg
 
Back
Top Bottom