Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio sura sina shakaHuyo ni KAYANZA Peter Pinda mtoto wa PM mstaafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio sura sina shakaHuyo ni KAYANZA Peter Pinda mtoto wa PM mstaafu.
Huyo jamaa ukiwa na ukaribu nae maisha yanakuwa kama lami awamu hii🤣 unaweza fungua milango mingi iliofungwa.Huyo anaitwa Waziri Salumu Rajabu Ni katibu wa Rais
anamuhusu nini? hujui analipwa kwa kodi za wananchi? Mwananchi mlipa kodi akiulizia ni tatizo?Anakuhusu nini, fanya mambo yako huko ni level nyingine
Asante sana camaraderie kwa ufafanuzi.Huyo anaitwa Waziri Salumu Rajabu Ni katibu wa Rais
Ni mara ya pili namuona akiwa pembeni ya Rais wetu kipenzi cha watu.
Naomba kumtambua huyu mtu ana wadhifa gani? .
View attachment 3162750
Ndio mpambe ama katibu binafsi ama chawa wa kuaminika wa Rais wa nchio hioNi mara ya pili namuona akiwa pembeni ya Rais wetu kipenzi cha watu.
Naomba kumtambua huyu mtu ana wadhifa gani? .
View attachment 3162750
Wanaume sio mambo yetu kufuatafuata wanawake kwenye kwenye majukumu yao.Hivi mbona mume wa Rais haonekani sana kama walivyokuwa wake wa marais 🤔🤔🤔
Huyo si Katibu Kiongozi.Katibu kiongozi
Ni mara ya pili namuona akiwa pembeni ya Rais wetu kipenzi cha watu.
Naomba kumtambua huyu mtu ana wadhifa gani? .
View attachment 3162750
Ila wanafanana kwel pinda...Huyo ni KAYANZA Peter Pinda mtoto wa PM mstaafu.
Waziri...ndio jinalake ni Katibu wa RaisMwashambwa