PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani kosa ni content au kufungua website
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
 
Wewe unayo maslahi yapi kuhusu swala hilo; kuna aliyekulazimisha ukatazame hizo picha?

Unafikiri kutunga sheria za kufunika maovu wanayotendewa waTanzania ndiyo salama ya utawala usiokubaliwa na watawaliwa?

Hata hivyo nikushukuru kwamba umeiweka wazi hiyo website, ili yeyote anayetaka kuona unyama uliofanywa na Samia Suluhu Hassan unaonekana wazi.
Aisee hatari sana, kamq ni uongo huyo mtu akamatwe
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
Hiyo ni ya massacre of citizens! Kama wewe unaona uharibifu wa vitu ni counterbalance sahihi ya massacre of citizens, basi tengeneza website ya kuonesha uharibifu wa vitu!
 
Nani alitoa amri watu kupigwa risasi mitaani na majumbani hovyo hovyo?
20251104_120304.jpg
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
Lipia tangazo.
 
Kibali? Ina maana kwenye chama chenu hamna watu wenye akili...

La ziada, JamiiForum imefungiwa leseni yake kwa muda. Kwanini wewe unaitumia na umeweza vipi?
 
Kama haya kayafanya Mkuu wa nchi basi dah basi Tanzania sio salama kwa sasa
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
Mkuu mimi sijakuelewa.
Yani unasema uhai wa mtu SI kitu kuliko mali za mtu?
 
Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimi na kufanyiwa uchunguzi.
Ishu ya mali inajuliakana mkuu.
Ila uhai wa mtu ndo kitu Cha mwisho muhimu.

We unashangaa Hilo,
Sasa kama kikija kikundi Cha siraha Kali za kivita uhalibifu ndo utakuwa zaidi ya mara 50 uliouona.
Sasa sijui mtasemaje.
 
Kwani hizo idara zenu zinamiliki server yoyote hadi zite vibali? Au zinamiliki mawazo ya watu?
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
labda AI au wewe unasemaje
 
Wanahangaika sana kujinasua ya jiinamizi la kufanya maandalizi ya makusudi ya kuichoma nchi na kuandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao 100% kuwa utasababisha vifo vingi na majeruhi. Walikuwa wanajua kuwa kodi za wananchi zitakwenda kuharibiwa.
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?

Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
Bado watu hawajatolewa takwimu ili wafutwe kwenye orodha ya sensa.
 
Back
Top Bottom