PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Samia akiwa Amiri Jeshi Mkuu alizima jaribio la mapinduzi aliilinda dola aliyoapa kuiongoza.

Sioni ni kwa namna gani vijana watarudia tena kufanya ushenzi wa kuidharau serikali na kuleta mambo ya kihuni.
 
Idara zetu zipo makini kweli ?

nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ?

Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ?


Hii sio sawa

Haitakiwi kuwepo ifungwe haraka sana, imeegemea upande moja bila ushahidi wa uhakika.

itengenezwe website inaonyesha uharibifu wa mali za umma, mabasi, vituo vya mafuta, n.k. ni vitu ambavyo vimeshatolewa takwimu na kufanyiwa uchunguzi.
Hii Kali hivi kutengeneza website kunahitaji kibali cha mtu?
 
Back
Top Bottom