Mechi za mashindano hayo zitachezwa kwenye viwanja viwili ambavyo ni ule wa Taifa pamoja na Azam Complex ambavyo vyote viko jijini Dar es Salaam, huku mazoezi kwa timu hizo yakipangwa kufanyika...
www.mwanaspoti.co.tz
Gymkhana ni taasisi kubwa ipo maeneo mengi tu hapa duniani kama ilivyo kwa
Aghakhan na viwanja vyao
Rotary Club na viwanja vyao
Hata wewe kiwanja ulicho nacho ume rent kwa serikali
Una pewa mkataba wa miaka kadhaa, yaweza kwa 33, 66 au 99...
Hivyo wao na wewe hamna tofauti hata kama wao ni wageni ila wana haki ya kumiliki maeneo kwa taratibu zilizo wekwa
Ni kama wawekezaji wengine kama Pepsi, Coca-Cola, Balozi mbalimbali, na taasisi zingine kama za elimu (Kampala University, Feza, Turkish maarif, Goethe nk) Afya nk