Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa



D974EB9B-1B0F-4E4B-BBC9-9252FC4D37C1.png



Gymkhana ni taasisi kubwa ipo maeneo mengi tu hapa duniani kama ilivyo kwa

Aghakhan na viwanja vyao
Rotary Club na viwanja vyao


Hawa Gymkhana wana viwanja maeneo mengi tu kama

Zanzibar
Morogoro
Kagera
Arusha
Dar es Salam

CA46291E-DF81-4396-A9DA-FE73645337C5.jpeg

DED10937-9A56-4739-BCDA-DE2D5AFB5EB7.jpeg




68569CB5-4C9F-47A4-9F71-EED5D6971D79.jpeg




C1DEAB80-BD1E-49B3-B481-CA1CB97CB1FE.jpeg
 
Je huyo mtukufu wao sio tu mmiliki wa club tu?
Na hapo aio kuwa wame rent kwa serikali?
Hata wewe kiwanja ulicho nacho ume rent kwa serikali

Una pewa mkataba wa miaka kadhaa, yaweza kwa 33, 66 au 99...

Hivyo wao na wewe hamna tofauti hata kama wao ni wageni ila wana haki ya kumiliki maeneo kwa taratibu zilizo wekwa

Ni kama wawekezaji wengine kama Pepsi, Coca-Cola, Balozi mbalimbali, na taasisi zingine kama za elimu (Kampala University, Feza, Turkish maarif, Goethe nk) Afya nk
 
Back
Top Bottom