6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang.
Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇
Kati ya:
1] Mchina
2] Mwaarabu
3] Muhindi
Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi?
Maana jamaa anataka ku apply kazi mtandaoni, sasa ikitokea amepata kazi kwa race zote tatu kwa mpigo na kwa wakati mmoja.
Ni wapi unafikiri akienda ataweza kupata angalau kamshahara ka kurizisha, lkn pia hawatomsumbua sumbua sana kutokana na rangi yake.
Nawakilisha.