Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kivipi mkuu, mbona wengine wanasema kuwa muhindi ndio noma zaidi ya hao wengine?
Hana jibu huyo, sana sana atakuambia wale ni wabaguzi, wale walitesa mababu zetu 😁 mara wanaangusha mahousegirl ghorofani😁 yani mtu anaongea kwa kufuata mkumbo wa wengine ilimradi afurahishe nafsi yake 😁