Kwa ufanyaj kaz wa ngoz nyeus/kibongo ambao muda mwing anaangalia kumpiga boss,na kupata nafasi ya kupiga.. nadhan hao wote hapo juu lazima wakuzingueKwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang.
Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini [emoji116]
Kati ya:
1] Mchina
2] Mwaarabu
3] Muhindi
Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi?
Maana jamaa anataka ku apply kazi mtandaoni, sasa ikitokea amepata kazi kwa race zote tatu kwa mpigo na kwa wakati mmoja.
Ni wapi unafikiri akienda ataweza kupata angalau kamshahara ka kurizisha, lkn pia hawatomsumbua sumbua sana kutokana na rangi yake.
Nawakilisha.
'Mweusi mwenye asili ya Africa' vipi?Hao wote sawa tuu...
Mtu pekee asiye na longolongo ni mzungu pekee.
Kwahiyo hizi race huwa zinachukua maamuzi mabaya zaidi kwa wale ndugu zetu wapigaji?Kwa ufanyaj kaz wa ngoz nyeus/kibongo ambao muda mwing anaangalia kumpiga boss,na kupata nafasi ya kupiga.. nadhan hao wote hapo juu lazima wakuzingue
Umenichekesha sana mkuu kuhusu masharti ya kaz ya muhindi.Kwa upande wangu niseme tu muhindi ananafu kwa malipo, yaani hazingui ingawa sijajuwa kama ni wote wapo hivo, Angalizo hata ukiugua utaenda kumeza dawa officen na kazi iendelee labda uwe hoi kitandani na sio habari za homa ya malaria au kichwa kuuma
Namba 4 kwa wabongo hapo ndo kabisa hakuelezeki.1. Waarabu OG hawa sio wazunguaji, utalipwa kadiri ya makubaliano yenu na Kwa muda.
2. Wachina.
Hawa wanafuatia, wanalipa Kwa wakati ingawaje mishahara yao ni midogo inakaribiana na wahindi.
3. Wahindi.
Hawa ndio wamwisho, hawa wanazingua kuchelewesha mishahara, alafu wako very strictly yaani wanapenda kukusimamia, wanaongeaongea Sana. Pia mishahara yao ni kidunchu.
4. Wabongo
Hawa ndio wamwisho kabisa.
Namba moja kabisa hapo juu ni jamii za Ulaya
Me nimefanya nao kazi, nawafahamu,Umenichekesha sana mkuu kuhusu masharti ya kaz ya muhindi.
Ipo hivo mkuuYani anaamini kama unaumwa pale anapokuona umelazwa hospital. Bila hivyo ni lazima uende kazin na ugonjwa wako. Dah kweli hawa watu huruma imewapitia mbali sana.