Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

Mhhh!!,Mbona km ndo walewale?.
 
Tukizungumzia races pekee, tutakuwa too general!!!

Kuna utofauti wa unafuu kutoka kampuni moja hadi nyingine bila kujali inamilikiwa na race ipi..

Kama hautajali, taja hizo kampuni ili wadau wakupe majibu mujarab!!
 
Wote hao ni maskini wenzetu ila kama kawaida kuna kiongozi kwenye kila kundi.
 
Wote hao ni maskini wenzetu ila kama kawaida kuna kiongozi kwenye kila kundi.
🀣🀣🀣 Sasa hapo kiongozi wao ni yupi? Wazee wa taichi? Wazee wa tende? Au wala pili pili?
 
Hawa wote niwasumbufu hakuna wa afadhari, wanaonaga ni kama umefanya kazi bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…