Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kivipi mkuu, mbona wengine wanasema kuwa muhindi ndio noma zaidi ya hao wengine?
Hawa wote niwasumbufu hakuna wa afadhari, wanaonaga ni kama umefanya kazi bure
Unawasingizia kwakweli, unaweza ukatoa ushuhuda?Afadhali ya waarabu in terms of maslahi ila udini uko juu kwa hao viumbe.
Awe ambae anasali lakiniMwarabu nafuu
Watamuhasi kabisa
Zote ni majanga(magarasa) matupu.Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang.
Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇
Kati ya:
1] Mchina
2] Mwaarabu
3] Muhindi
Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi?
Maana jamaa anataka ku apply kazi mtandaoni, sasa ikitokea amepata kazi kwa race zote tatu kwa mpigo na kwa wakati mmoja.
Ni wapi unafikiri akienda ataweza kupata angalau kamshahara ka kurizisha, lkn pia hawatomsumbua sumbua sana kutokana na rangi yake.
Nawakilisha.
Awe ambae anasali lakini
Tena sisi weusi ndo hovyo kabisa kwa kufanyiziana.Bora hata hizo race zingineKuna watu hawapendi tu kuongea ukweli, chuki zimejaa vifuani mwao 😁😁 sio kwamba hawajui kuwa waarabu wengi wao ni watu wazuri, wakarimu, wana imani, wana huruma, yote haya wanayajua mzee, sema chuki zimetawala dhidi yao.
Nachukia sana kuona mtu anachukia race zingine, na wengine kuwapenda. Tuwapende wote bila race ya mtu.
Kivipi? Walikunyanyasa? Walikutukana? Walikuita sokwe?
Mwarabu nahisi anaundungu na shetani, wanaroho mbaya sana
Tena sisi weusi ndo hovyo kabisa kwa kufanyiziana.Bora hata hizo race zingine
Mwarabu anaogopa Sana fedha HARAMU....Atakulipa kadri ya makubaliano yenu
Mkuu ushafanya kazi na muhindi akakudhulumu au umesikia tu maneno ya vijiweni? Una ushuhuda wowote kuhusu wahindi?Kwa upande wangu nitafanya kazi kwa waarabu, waarabu wana huruma na imani.
1 waarabu
2 mabeberu
3 mchina, japo siwajui kiundani
Wahindi hapana aise, mwafrika nae hapana aise japo wapo baadhi yao wana afadhali.