Ni nani nje ya CHADEMA alimfahamu Mzee Ally Kibao kabla ya mkasa uliotokea?

Sasa kama chadema hawamjui, wewe umemjuaje kwa hizo sifa zake ulizotaja? Hivi kwani chadema haina intelijensia?
 
Kila mara nafsi yangu huniambia mbowe sio mpinzani,na hakuwahi kuwa mpinzani,muda utaongea,
 
Mkuu fanya Editing basi mbona P haionekani au simu yako haina P?
 
Unataka kusema wale waliobeba silaha na kusimamisha Basi njiani kwamba sio watu wa system?

Iko wazi serikali inahusika na mauwaji ya mzee Kibao kwa asilimia mia.

Kama haihusiki Kwanini mpaka leo majibu ya uchunguzi wa Kifo chake hayajatolewa?
Haya mapumbavu yangejifunza ukatili walau kwa KGB waliokuwa wanauwa kwa sumu bila watu kugunduwa kuliko huu ushamba wao wa kuteka watu.

Ikumbukwe Uvccm nao kile kitengo chao cha green gurd ni kitengo cha magaidi tu, ni wauwaji pia, ni kweli siyo kila tukio linafanywa na vyombo vya dola, kuna Green guard wa Uvccm wanahusika.
 

..ukiuwa bila kuwa umetumwa na wakubwa serikalini utakamatwa mara moja.

..ndio maana Polisi waliomuua mfanya biashara wa madini kule Mtwara walikamatwa.

..hata ukifanya ufisadi bila kuwa umepewa baraka na wakubwa lazima watakushtaki.

..kama viongozi wa Ccm wakubwa kama kina Kinana, Makamba, Nape, wamedukuliwa, basi ujue viongozi wa Chadema wanadukuliwa zaidi ya hao.

..kwa msingi huo haiwezekani Chadema wafanye uhalifu halafu serikali isijue na kuchukua hatua kali.

..ukiona serikali inapambana na Chadema kwa kutumia kesi za kijinga, za kutunga, ujue imeshindikana kupata kesi za kweli zenye mashiko.
 

..serikali ilikuwa inamfahamu vizuri Mzee Ally Kibao.

..walishawahi kumteka wakati akiwa mwanachama wa Cuf.

..walioshuhudia utekwaji wa Mzee Kibao wanasema watekaji walikuwa wamebeba silaha zinazotumiwa na watu wa idara ya usalama.
 
Jeshini aliingiaje kama alikuwa hajulikani!?? Watotonwake hawamjui!?? Majirani!?? Tofauti ya ubongo wako na mavi ni harufu tu.
 
Kuna interview mbili moja ya Lissu na nyingine ya Mnyika zinahint ya kile kilichosababisha Mzee Kibao kufanyiwa yakiyomtokea.
Nadhani mzee Kibao alikuwa ni Army Veteran, alikuwa strategist wa chama unaweza kupata picha
 
Kuna interview mbili moja ya Lissu na nyingine ya Mnyika zinahint ya kile kilichosababisha Mzee Kibao kufanyiwa yakiyomtokea.
Nadhani mzee Kibao alikuwa ni Army Veteran, alikuwa strategist wa chama unaweza kupata picha

..Meja Jenerali Marco Mwita Marwa " jenerali kambale " aliwahi kujiunga na Chadema lakini hakuuwawa.

..kuna jamaa aliwahi kuwa Balozi, na Mkurugenzi msaidizi usalama wa taifa, alijiunga Nccr mageuzi, hakuuwawa.

..hoja kwamba Mzee Ally Kibao alikuwa mwanajeshi akajiunga na upinzani na hicho ndicho kilichomponza haina uzito.
 
Tatizo wanaajiri watu wasio na akili
 
Umechukua nusu ya comment yangu ukaokota kile ambacho hakukuwa Msingi wa hoja yangu.

Hata Lowassa Waziri Mkuu wa zamani, Arcado Ntagazwa Waziri wa Zamani walijiunga CDM hawakuuawa pia.
 
Yaani kaka unadhani lazima uingie mitandaoni kutukana ndio uonekane mbaya?

Miaka Fulani baadhi ya Maofisa wa Jeshi la TZ la wakati huo walikamatwa bila Raia kujua kwamba walikuwa wanaratibu kwa Siri mpango wa kupindua Serikali ya Mwalimu Nyerere!

Sio kila kitu lazima kipitie mitandaoni!

Fungua akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…