Ni nani nje ya CHADEMA alimfahamu Mzee Ally Kibao kabla ya mkasa uliotokea?

Na mimi nilikuwa sijui, baadae nikasikia alikuwa mwanajeshi, akawa karibu na mkiti wa sasa kuandaa namna ya kuunda Jeshi la uasi kwa siri, na yeye ndiye aliandaa mpango kazi, baadae kila gololi ikatumbukia katika shimo lake
Punguza ujinga kwenye mambo ya msingi.
 
Sawa! Polisi wapo wapi kuwakamata hao wauaji wa ndani ya chama?
Je wanauhalali wa kufanya hivyo?
 
Hakuna kitu kama icho wewe chawa jichetue tu kwani nani asiye tambua kwamba Aya mambo yanafanywa na fisiem.
 
🙋🤔💭🆗
 
🙋🤔💭🆗
 
Damu ya Ally Kibao haitopita kimya, Lingine ni hili, Wako waliokuja Chadema pamoja na Lowassa wakaamua kuwa Chadema milele, mfano mmoja ni Makongoro Mahanga (Tafakari kidogo)
 
Kumfahamu huku nje, sio, hoja,alikuwa, mstaafu wa, jeshi, highly decorated, military officer, from intelligence division, that is what matters,
Na alikuwa mwanachama wa chadema, akawasaidia vzr chadema, kwa mbinu za, kijasusi ili kujilinda dhidi ya state sponsored killers, and rogue elements from TISS,
Samia, murdered him in cold blood,!
 
Jeshini aliingiaje kama alikuwa hajulikani!?? Watotonwake hawamjui!?? Majirani!?? Tofauti ya ubongo wako na mavi ni harufu tu.
Ndiyo maana wewe ni "mtoto wa nzi' kwa sababu ulizaliwa, kuishi na utakufa kwenye uchafu huo huo ulioutaja.
Baada ya hapo sina la ziada na wewe.
 
Mbowe anajua yote kuhusu wana CHADEMA waliopotea na kuuawa tangu enzi za Chacha Wangwe. Mhusika na Joka kuu ni Mbowe.
 
..serikali ilikuwa inamfahamu vizuri Mzee Ally Kibao.

..walishawahi kumteka wakati akiwa mwanachama wa Cuf.

..walioshuhudia utekwaji wa Mzee Kibao wanasema watekaji walikuwa wamebeba silaha zinazotumiwa na watu wa idara ya usalama.
JF ni hazina kubwa!
 
Mbowe anajua yote kuhusu wana CHADEMA waliopotea na kuuawa tangu enzi za Chacha Wangwe. Mhusika na Joka kuu ni Mbowe.
Naomba uwe mwangalifu unapotaja watu, hususani "Jokaa Kuu", hana uhusiano wowote na hayo unayoeleza wewe.
Huyo mwingine sina lolote la kumtetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…