Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
I agree with you 100%, she is not fit for purposes. Urais hakuchaguliwa na kwahio kazi haijui. Rais makini jana ile ile bila kulalamika alitakiwa kutengua Management yote ya ATCL, Bodi yake na wote waliosaini kulipa hio nyongeza bila kuusoma mkataba wa manunuzi kwa sababu kikatiba ana hayo mamlaka. Mabilion ya pesa yanakopwa na huku kwingine yanafujwa! Kulikua hamna haja ya kulalamika hovyo hovyo, kaonesha udhaifu mkubwa.Maybe she don't feel the position
Hii nchi watu Wanameza vibaya sanaMama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.
1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....
Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?
Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Kuna waliokuweka kwenye huo urais a.k.a wanaopitisha jinaRais analalamika, viongozi wake wanalalamika, viongozi wa upinzani nao wanalalamika na wananchi nao wanalalamika. Nchi ya malalamiko = Rais ni dhaifu, hivi rais utaanzaje kulalamika kwa wananchi wako na wewe ndio mwenye mamlaka yote??? Nchi ngumu sana hii.
Huu ni uchawi sasa.!Ndo hilo kabisa, just take time Raisi hata liongelea tena kamati ya public relation isha mpa briefing na kumkumbusha maamuzi yake na ushauri walio wahi kumpa, pale aliongea kwa jaziba tu na hasira ya kutopewa information mapema na ma aide wake. Ila alio weza kufanya dili ya kijinga kama hiyo ni Magufuli tu kwasbb yeye alikua mbabe na arrogant sio Raisi smart kama huyu wa sasa mwenye washauri wenye uzoefu.
Brother mshana naona cha kumsaidia mama ni kumshauri uchaguzi ujao aachie madaraka . Hii nchi haitakiwi kuongozwa na mtu mwenye hurumaBaada ya ulafi wa mali za umma kuanikwa na CAG, hakika rais wetu Samia anatakiwa asaidiwe pakubwa na kwa haraka, ikiwemo kumwombea Mungu ampe ujasiri, akili na hekima itokayo juu.
Kakwama kabisa na kuishia tu kulalamika na kutukana: "...stupid..., ...pumbavu..."!
Nani ataogopa kuendelea kuiba na kula fedha za umma kwa kulalamikiwa na kutukanwa tu bila kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu na kisheria?!
Credit: Gwappo Mwakatobe
JiweMama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika.
1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji Mkuu wa Serikali
4. Gavana wao BoT
5. Waziri wa Uinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF (?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi Mkuu wa Serikali?
8....
9....
Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao. Je, mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?
Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini.
Atagoma vipi wakati mkataba ulishasainiwa,akutane na rungu la kimkataba?Mbaya zaidi hajasema km amegoma kulipa hiyo dola mil 88 na badala yake imelipwa ile ile ya awali dola mil37. Km kalipa hiyo iliyoongezwa haina maana kulia lia na kutafta huruma. Ntampongeza tu km amegoma kulipa.
Zaid ya sana mkuuTumuombee sana
Wajanja wameishamjua mama kuwa sio makini kwenye ufuatiliaji wa malipo kwenye miradi; ndio maana upigaji umekuwa wa kutisha sio kwenye manunuzi ya ndege tu bali kwenye miradi ya reli ya SGR na kule kwenye bwawa la umeme ndio kufuru!!! Inashangaza mama anapolia lia na kuomba eti mawaziri wake wamsaidie bila yeye kujua kuwa hao hao mawaziri wake hasa huyo wa fedha ndio vinara wa upigaji!!!Atamkumbuka Magu, na nchi ishamshinda. Watu wanapekenyua hadi kilemba chake.