Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hitaji tunalo ila shida ipo kwenye manunuzi yaani wanaingia fisi kuongeza cha juu wapige manoti. Serikali imefanya busara kuikubali ripoti iende bungeni kujadiliwa bungeni haya ni mazingira ya uwazi. Huko nyuma prof alietumbuliwa alibainisha kuwa aliomba karatasi za manunuzi ya ndege akanyimwa. Watanzania tumshauri Rais kisayansi jinsi anaweza kukati angalau mizizi kidogo ya wizi maana inaonekana imejichimbia chini.Hizi ndege zinanunuliwa kwa sababu kuna mwanya wa kuiba pesa , si kweli kwamba Atcl inahitaji ndege,
mmmH hii ni hatari,..mfuko wa sementi umeona bei yake ni 15,000/= lakini unaletewa kuwa unatakiwa ulipie 50,000/= na wewe unalipa.......
Hasara za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa miaka 9 (2014-2022)Hitaji tunalo ila shida ipo kwenye manunuzi yaani wanaingia fisi kuongeza cha juu wapige manoti. Serikali imefanya busara kuikubali ripoti iende bungeni kujadiliwa bungeni haya ni mazingira ya uwazi. Huko nyuma prof alietumbuliwa alibainisha kuwa aliomba karatasi za manunuzi ya ndege akanyimwa. Watanzania tumshauri Rais kisayansi jinsi anaweza kukati angalau mizizi kidogo ya wizi maana inaonekana imejichimbia chini.
yale mabehewa yaliyofungiwa kwenye mifuko ya sandurusi.[emoji23]
Kuna ile ya ukarabati wa kivuko kwa bilion saba wakati kipya ni bilion 9
Hamna cha kutupisha wala nini, ilitakiwa wawe ndani.1: ATCL Management
2: TGFA Management
3: Ofisi ya AG
4: Ofisi ya Mlipaji Mkuu wa Serikali
Etc, hizo ofisi hawawezi kwepa hii kadhia, hizo ni fedha nyingi mnooo... Naamini hadi Mama kachukia vile, lazima kachukuza na kawaita na kujua madudu yote na upigaji wa wazi wazi, ndio maana kasema watupishe yaani wajiuzulu wao wenyewe.
Sasa wasipojiuzulu au kuachia nafasi zao, itabidi haraka Mh. Rais Mama Samia, awafukuze kazi haraka kwa barua toka Ikulu.
Kwa wabunge waliopatikana uchaguzi 2020 ambapo upinzani ulidhulumiwa , Bado unaamini bunge linaweza kufanya kazi yake kwa weledi?Hitaji tunalo ila shida ipo kwenye manunuzi yaani wanaingia fisi kuongeza cha juu wapige manoti. Serikali imefanya busara kuikubali ripoti iende bungeni kujadiliwa bungeni haya ni mazingira ya uwazi. Huko nyuma prof alietumbuliwa alibainisha kuwa aliomba karatasi za manunuzi ya ndege akanyimwa. Watanzania tumshauri Rais kisayansi jinsi anaweza kukati angalau mizizi kidogo ya wizi maana inaonekana imejichimbia chini.
Shirika la ndege la Tz alijawahi kuleta faida yoyote na hasara ya ma billion hiyo pesa ingewekezwa kwa kupeleka maji vijijini huenda maisha ya mtazania wa kawaida yange badilika.Hitaji tunalo ila shida ipo kwenye manunuzi yaani wanaingia fisi kuongeza cha juu wapige manoti. Serikali imefanya busara kuikubali ripoti iende bungeni kujadiliwa bungeni haya ni mazingira ya uwazi. Huko nyuma prof alietumbuliwa alibainisha kuwa aliomba karatasi za manunuzi ya ndege akanyimwa. Watanzania tumshauri Rais kisayansi jinsi anaweza kukati angalau mizizi kidogo ya wizi maana inaonekana imejichimbia chini.
Kwa madudu yanayotangazwa hilo Bunge lipo wapi mkuuKwa wabunge waliopatikana uchaguzi 2020 ambapo upinzani ulidhulumiwa , Bado unaamini bunge linaweza kufanya kazi yake kwa weledi?
Hawezi, mkono wa mstaafu uko hapo.
Narudia tena, hawezi.
Hakuna wa kufukuzwa hata mmoja.
Mama kama angekuwa na uwezo huo hakupaswa kutoka na kutuambia. Tulitakiwa tuone watu ni fired bila sisi kujua kinachoendelea. Ndo uongozi.
Mama aliona Magu hana huruma. Akasahau kuwa hii nchi ina wajanja fulani wanaendesha nchi kama choo binafsi.
Atamkumbuka Magu, na nchi ishamshinda. Watu wanapekenyua hadi kilemba chake.
Yaani watu wezi sana, $ 49 mil ni sawa na fedha zetu tshs 114 bil, watu hawa hawajali kabisa, mimi naona Mama angewafukuza pale pale aliposema waondoke wenyewe, yaani angesema barua zao za kufukuzwa kazi zipo tayari leo baada ya kikao hiki waondoke kabisa wezi hawa wakubwa sana, sbb itakuwa ni chain kubwa ya wapigaji ktk dili hilo
Baada ya ulafi wa mali za umma kuanikwa na CAG, hakika rais wetu Samia anatakiwa asaidiwe pakubwa na kwa haraka, ikiwemo kumwombea Mungu ampe ujasiri, akili na hekima itokayo juu.
Kakwama kabisa na kuishia tu kulalamika na kutukana: "...stupid..., ...pumbavu..."!
Nani ataogopa kuendelea kuiba na kula fedha za umma kwa kulalamikiwa na kutukanwa tu bila kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu na kisheria?!
Duh, hatari sana!Hasara za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa miaka 9 (2014-2022)
2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3
2015/2016 - Tsh. Bilioni 109.2
2016/2017 - Tsh. Bilioni 113.8
2017/2018 - Tsh. Bilioni 26.6
2018/2019 - Tsh. Bilioni 48
2019/2020 - Tsh. Bilioni 60.24
2020/2021 - Tsh. Bilioni 36.2
2021/2022 - Tsh. Bilioni 35.2
Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya 12.
ATCL imekodishwa Ndege 11 zilizonunuliwa kwa Tsh. Tril 1.47 zinazotoa huduma ya Usafiri sehemu mbalimbali ndani na nje ya Nchi, baadhi yake zimepata hitilafu za kiufundi na 1 inashikiliwa Nchini Uholanzi.