Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Japan.
Reasons
The Japanese work ethic, culture and their level of technology.
 
Nimeshachoka kutumia miguvu kila saa tindo na nyundo nataka nianze kutumia akili,lakini bado sijajua ni course gani itanitoa,naomba msaada wa mawazo kiongozi.
Nalog off
Msaada ni kusoma majarida mbalimbali kukaa na makundi ya watu tofauti kama walio enda shule na wajanja wa mjini



Nalog on
 
Kama unawafanania hao watu kidogo ni sawa, tofauti na hapo utaishia kuwa kivutio cha utalii
 
Tupe history ya noriega
 
Alafu kuna mtu aliniambia Uganda ni jiji la maraha mkuu .ni kweli?kuzidi dar?
Nimekaa kampala WK mbili hakuna jipyaa kabisa. Bongo kwa starehe kuko vizuri ila Addis Ababa ni kiboko nimekaa huko mwezi mzima unaweza sahau familia.
 
Nimekaa kampala WK mbili hakuna jipyaa kabisa. Bongo kwa starehe kuko vizuri ila Addis Ababa ni kiboko nimekaa huko mwezi mzima unaweza sahau familia.


Nimechoka sn na kazi..i wish nikatulie smwhr even 2 wks..!ngoja nitafte kampani kwanza
 
Hakuna cha karata huko.Labda ukaishi jimbo kule walipo Goa unaweza kidogo kukopu nao, ila nywele zitakuumbua,zao kama za Kisomali au za Kihindi kiaina fupi fupi.

Ila kwa rangi ya ngozi mtatoka ngoma droo.Weusi kama Walajuo au Wajita,walau ngozi yako unaikoboa koboa na Carolite.

Hahahahaha, nenda mkuu ukajionee,acha kuvimba macho tu hapo Kwa Mtogole.

Hahahahaha, sipotoshi lakini.
Hahaha...haya bwana.

Kacheze karata vizuri tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…