Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.

Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.

Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

View attachment 3368020
hela ziko zanzibar
 
Hela anapiga Abduli anatunyoosha hatari.Hakuna dili ya serikali inapita hayumo
Screenshot_20250613-120827~2.png
 
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.

Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.

Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

View attachment 3368020
Mkiambiwa wanawake wote awana akili ya uongozi mnafura na kusema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu.....
 
Rais anayepatikana Kwa njia ya kurithi ni wabaya sana.wanapwnda kukopa sana na matumizi yake ya hovyohovyo tu
 
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.

Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.

Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

View attachment 3368020
Wewe unataka nini? Zanzibar itajengwa na Nani?
 
Back
Top Bottom