Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

Ndugai aliwazindua mkaona mpumbavu makaungana na chura kiziwi kumnanga
 
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.

Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.

Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

View attachment 3368020
Unadaiwa ww
 
Ndugu zangu naomba msaada wenu hapa kuhusu hii hoja ya mleta mada The Burning Spear!

Je deni la taifa kuongezeka kutoka trilioni 51 hadi trilioni 107 ni ongezeko la asilimia ngapi?

Kwa hesabu zangu za ngumbaru naona 50% si sahihi bali sahihi ni 100% na ushee?

Kwa sababu hiyo mada ilitakiwa isome hivi...

Ni vigumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la taifa limeongezeka kwa 100%. Aisee kazi tunayo!
Upo sahihi mkuu,
Hilo ongezeko ni karibu 110% ndani ya miaka 4 tuu !!!
 
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.

Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.

Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

View attachment 3368020
Na SGR inachanja mbuga, mpaka Mwanza na Burundi, lazima usiamini
 
Back
Top Bottom