Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Wao hawalipi kodiNa wanao liongeza hilo deni wanatuambia hakuna matata
Wao hawalipi kodiNa wanao liongeza hilo deni wanatuambia hakuna matata
Kabisa na wenzetu baadhi wa Tanganyika wanatetea huu ubadhurifu kisa wana nufaikaNdiyo kero za muungano hazipo tena Wazanzibar wamepata koloni lao
Sure! Kwa mchumi wa nchi ambae ni mchumia tumbo mwigulu, deni Litafika tri 200, after all wao hawajali maana ukwasi wanaomiliki ni wa kula vizazi na vizazi.Mbona Bado...litapaa zaidi kwa 100%
Wanufaika wa huu wiziKabisa na wenzetu baadhi wa Tanganyika wanatetea huu ubadhurifu kisa wana nufaika
Ndiyo maana jamaa ni matajiri haswaSure! Kwa mchumi wa nchi ambae ni mchumia tumbo mwigulu, deni Litafika tri 200, after all wao hawajali maana ukwasi wanaomiliki ni wa kula vizazi na vizazi.
Unaambiwa kuna maghorofa yanaota kama uyoga huko
Watu wananunua apartments huko arabuni, na pesa zingine zinafichwa huko ughaibuni...Sure! Kwa mchumi wa nchi ambae ni mchumia tumbo mwigulu, deni Litafika tri 200, after all wao hawajali maana ukwasi wanaomiliki ni wa kula vizazi na vizazi.
Tulishaoneshwa matumizi yake.....waonyeshe mkopo wamefanyia nini, wakionyesha hatuna shida, ila wasipoonyesha ina maana kuna watu wamekula.
Sasa bila kukopa hiyo bajeti ingefikiwaje?Taja hiyo miradi..maana miradi mikubwa yote kaikuta imeshaanza kutekelezwa means bajeti iliuwepo tayari
Mama na watoto wake na mawaziri wake wote wanaliibia taifa. Abdul anapata wapi pesa za kuhonga CHADEMA-Mbowe wakati hana ajira?Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.
Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.
Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
View attachment 3368020
Watatokea mabilioni wengi sana nchi hii, tumeona Lugumi bado anaendelea kuwa Bilionea, na Abdul soon atakuwa Bilionea.Kuna wizi mkubwa sana unaendelea aisee
Inatia Uchungu sana wakuu
Nimepitia kitabu cha ufunuo chote kwa msaada wa AI lakini sijakutana na neno HAKABA, imeniuliza au namaanisha KAHABA? nikasema nitarudi.Hapo kwenye neno mama ondoa weka hakaba mkuu aliye tajwa kwenye kitabu cha ufunuo mwenye majina ya makufuru
Sema nchi yetu bana utawala wake ulivo ni swala la muda tu, Kwasababu majority ya hao wamepata pesa kwa Janja janja tu na icho kiwango cha pesa walichonacho kinazidi uwezo wao wa kufikiri atakuja mtawala mpya vitayeyukaMama na watoto wake na mawaziri wake wote wanaliibia taifa. Abdul anapata wapi pesa za kuhonga CHADEMA-Mbowe wakati hana ajira?
Watatokea mabilioni wengi sana nchi hii, tumeona Lugumi bado anaendelea kuwa Bilionea, na Abdul soon atakuwa Bilionea.
Hili bango hawalipendi kama nini🤣🤣🤣
Ndugu zangu naomba msaada wenu hapa kuhusu hii hoja ya mleta mada The Burning Spear!Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4
deni la Taifa limeongezeka kwa 50%.