The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Wamenunua V8waonyeshe mkopo wamefanyia nini, wakionyesha hatuna shida, ila wasipoonyesha ina maana kuna watu wamekula.
hela ziko zanzibarWadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.
Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.
Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
View attachment 3368020
Unaambiwa kuna maghorofa yanaota kama uyoga hukohela ziko zanzibar
huyu alindwe, hawachelewi...
Hela anapiga Abduli anatunyoosha hatari.Hakuna dili ya serikali inapita hayumo
Mkiambiwa wanawake wote awana akili ya uongozi mnafura na kusema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu.....Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.
Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki watu wanajichotea tu hela.
Hali ikiendelea hivi hadi samia anaondoka madatakani huende tukawa na deni la tirioni 200. Kama tungekwa na watu wazalendo samia angepigwa chini haraka sana kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
View attachment 3368020
Hapo kwenye neno mama ondoa weka hakaba mkuu aliye tajwa kwenye kitabu cha ufunuo mwenye majina ya makufuru
Wewe unataka nini? Zanzibar itajengwa na Nani?Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.