Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

Tulia, tuko busy tunaijenga Zanzibar.
Watanganyika tulieni dawa iwaingie kwani aina hii ya muungano wa kuliua taifa lenu la Tanganyika huku mkikubali Zanzibar yetu ishamiri at your expense mmejitakia wenyewe.
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Ukiwauliza na zile tozo walizo zianzisha wanazipeleka wapi! Mbona kila siku wanajisifu eti mapato ya kodi yameongezeka! Na yenyewe yanafanyia nini! Naamini hawatakuwa na majibu sahihi!
Kama watoto wao wanasoma shule za kulipa ada milioni 45 kwa mwaka
 
Tuna mchumi namba moja wizarani!!
Nafikiria kuhamia kwenye jimbo la mchumi #1. Nikizunguka vijiji kadhaa nahamasisha Agribusiness ya kitoweo maarufu "Kuku wa Singida".
Mara paap Mchumi ana finance proposal, ananipa na ka Noah Field Tourer ka kuendea field huko Msai na Tyeme!
 
Na wanao liongeza hilo deni wanatuambia hakuna matata, (himilivi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…