Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

Bila mikopo hata hiyo miradi ya kimkakati isingekuwepo.
 
Sure! Kwa mchumi wa nchi ambae ni mchumia tumbo mwigulu, deni Litafika tri 200, after all wao hawajali maana ukwasi wanaomiliki ni wa kula vizazi na vizazi.
Watu wananunua apartments huko arabuni, na pesa zingine zinafichwa huko ughaibuni...
 
Luhaga Mpina aliwahi kumwomba waziri wa fedha aje na jedwali linaloonesha hiyo mikopo imefanya nini mpaka Leo kimyaaaa
 
Mwenye uelewa jinsi Hiyo mikopo ilikokwenda,atueleweshe hapa akifanya reference na Pato la taifa/makusanyo yameongezeka na Bado Kuna tozo
 
Mama na watoto wake na mawaziri wake wote wanaliibia taifa. Abdul anapata wapi pesa za kuhonga CHADEMA-Mbowe wakati hana ajira?
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea aisee
Inatia Uchungu sana wakuu
Watatokea mabilioni wengi sana nchi hii, tumeona Lugumi bado anaendelea kuwa Bilionea, na Abdul soon atakuwa Bilionea.
 
Hapo kwenye neno mama ondoa weka hakaba mkuu aliye tajwa kwenye kitabu cha ufunuo mwenye majina ya makufuru
Nimepitia kitabu cha ufunuo chote kwa msaada wa AI lakini sijakutana na neno HAKABA, imeniuliza au namaanisha KAHABA? nikasema nitarudi.
 
Mama na watoto wake na mawaziri wake wote wanaliibia taifa. Abdul anapata wapi pesa za kuhonga CHADEMA-Mbowe wakati hana ajira?

Watatokea mabilioni wengi sana nchi hii, tumeona Lugumi bado anaendelea kuwa Bilionea, na Abdul soon atakuwa Bilionea.
Sema nchi yetu bana utawala wake ulivo ni swala la muda tu, Kwasababu majority ya hao wamepata pesa kwa Janja janja tu na icho kiwango cha pesa walichonacho kinazidi uwezo wao wa kufikiri atakuja mtawala mpya vitayeyuka
 
Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4
deni la Taifa limeongezeka kwa 50%.
Ndugu zangu naomba msaada wenu hapa kuhusu hii hoja ya mleta mada The Burning Spear!

Je deni la taifa kuongezeka kutoka trilioni 51 hadi trilioni 107 ni ongezeko la asilimia ngapi?

Kwa hesabu zangu za ngumbaru naona 50% si sahihi bali sahihi ni 100% na ushee?

Kwa sababu hiyo mada ilitakiwa isome hivi...

Ni vigumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la taifa limeongezeka kwa 100%. Aisee kazi tunayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…