Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Jiwe alimpiga chini.Kwani si alijaribu kugombea Kigamboni akakwama kwenye kura ya maoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe alimpiga chini.Kwani si alijaribu kugombea Kigamboni akakwama kwenye kura ya maoni?
Maelezo ni mengi hebu tupe hayo aliyoyafanya namafanikio yake kila alipopita kubwa analokumbukwa nikuvamia kituo akiwa na askari huyo kifupi amepoteza sifa zakuwa kiongozi lakini pia utuambie kwa utumishi wa umma na ukwasi alionao vyanzo vyake ni nini mana hatujawahi kufahamu kama ana kumbukumbu zakua mfanya biashara kwa namna yoyote.Sio kwa ubaya kama tutaendelea kuwapa sifa viongozi wa namna hii hakika tutakua na safari ndefu sana