Ni ngumu sana kumpa Mwanamke anaeweze kuvumilia kila hali ngumu za maisha unazokumbana nazo Mwanaume

Lethergo

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2023
Posts
6,534
Reaction score
11,421
Intro:
Bila salamu.

Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa na faranga mfukoni huna shilling mpaka wallet imegeuka kitunguu ukifungua unatokwa na machozi.

Research findings:
Mwanamke anaeweza kuvumilia hio hali kwenye kundi la wanawake 10 basi la kwa kubahatisha anaweza akawepo mmoja tu na tena huyo mmoja nae ni wa tia maji tia maji yaan nae ni yupo km hayupo na hayupo km yupo.

Ninamaanisha hayupo mwanamke mvumilivu wa hali ngumu zinazohusika na mwanaume. Mwanaume unaweza ukavumilia hali ngumu za mwanamke ila ni vigumu sana kwa mwanamke kukuonyesha uvumilivu km jinsi wewe unavyoonyesha uvumilivu mambo yake yakienda ndivyo sivyo.

Ninazungumza kuhusu mahusiano ya kinyumba maana hamchelewi kuvuka mipaka mkaenda mpaka kusiko.

Summary, Conclusion & Recommendation:

Mwanaume ukisagulasagula ukampata mwanamke anaeweza kukuvumilia katika hali ngumu namaanisha hali ngumu kweli hata kwa mwaka mmoja tu, hio ni mali yako usiiache.
 
Kuna vitu vinaleta ukakas sana sasa broo unataka uvumiliwe alafu kiwe nini mbona ww ukinyimwa unyumba mwez lazima udai anatoa nje mbona huvumilii katika maisha yangu sipendag mtu mvumilivu raha ya maisha changamoto unakuwa na limwanamke mnalala njaa linakaa hata halikusemisemi humnunulii nguo ndio kwanza linakupa moyo bebi tutapata mwanaume unako enda kuhonga asee afu then wavulana mnataka wanawake wawavumilia mbona mtakufa maskini
 
Uvumilivu upo wa namna nyingi sana:
1) Kuna hali ngumu
2) Mnyanduo either upo busy au nguvu zimepungua
3)Tabia zako mbaya
4)Ndugu na maneno Yao
5)Sura zetu mbaya

Kwenye lazima moja akengeuke tu, ila ukifulia mbaya hata nguvu zinaondoka
 
Kuna vitu vinaleta ukakas sana sasa broo unataka uvumiliwe alafu kiwe nini mbona ww ukinyimwa unyumba mwez lazima udai anatoa nje mbona huvumilii katika maisha yangu sipendag mtu mvumilivu raha ya maisha changamoto unakuwa na limwanamke mnalala njaa linakaa hata halikusemisemi humnunulii nguo ndio kwanza linakupa moyo bebi tutapata mwanaume unako enda kuhonga asee afu then wavulana mnataka wanawake wawavumilia mbona mtakufa maskini
Mkuu, unyumba weka pembeni.

Jibu hoja ya mleta mada kwamba ni kweli wanawake hawavumilii kama wanaume linapokuja suala la shida ya kiuchumi?

Angalizo: Ngono isiwe part ya negotiation. Wanawake wamekuwa wajanja sana ishatapakaa kwenye jamii kuwa ngono ni kwa ajili ya mwanaume, si kweli, wanawake wanapiga mabao yao makubwa mazito mno.
 
Kama una mwanamke ambaye hawez hata kujinunulia nguo, sasa huyo ana faida gani dunia hii, atatunzaje watoto siku ukiwekwa jela wewe au ukiungua kitandani mwaka mzima ?

Mwanamke hata kujinunulia nguo huwez wala hela yako ya saluni huna hell noo kaa mbali kabusaa na mimi usiniletee umasikin wako.
 
Zingatia aya kama huna ela

..Show isewe ya kupepea kama ndizi za Zanzibar
...mueshimu mkeo kama huna ela
...kuwa smart muda wote yaani nadhifu
...make sure huna kibamia ngoma nagusa gorori
...kama mnawatoto wekeza nguvu zako kulea madogo na kuwafundisha mambo ya shule
...Usimpangie ratiba ya shoo au ya kufanya mambo yake....
...acha wivu wa kishamba kama huna ela
...make sure unatafuta mipango ya kurudi kwenye utawala wako sio ubweteke.......to return ur kingdom....
...angalizo hapa lazima utombe....we huna budi kaa kijanja.......
 
Sikilizeni wanaume

Huyo mwanamke sio special ashindwe kuvumilia

Mbona wanavumilia umasikini wa baba zao kwa zaidi ya miaka 20 mpaka wanapoolewa?

Kutovumilia ni ishara ya kuwa hana upendo wa kweli na ni malaya

Mwache aondoke
 
Upo sahih mkuu, mwanamke akikupenda atakuvumilia kwa kila hali.
 
Tatizo la vijana wa miaka hii hawajawahi kupendwa, wamekua kwenye kizazi cha wanawake malaya kwa hiyo wanaamini pesa ndio kila kitu ili waigiziwe wanapendwa

Mambo yanakuwa magumu pale wanapopitia changamoto za kiuchumi ambapo hawakosi kuona kila rangi ya malaya aliyemweka ndani

You cant turn a hoe into a house wife

Learn or perish
 
Zingatia aya kama huna ela

..Show isewe ya kupepea kama ndizi za Zanzibar
...mueshimu mkeo kama huna ela
...kuwa smart muda wote yaani nadhifu
...make sure huna kibamia ngoma nagusa gorori
...kama mnawatoto wekeza nguvu zako kulea madogo na kuwafundisha mambo ya shule
...Usimpangie ratiba ya shoo au ya kufanya mambo yake....
...acha wivu wa kishamba kama huna ela
...make sure unatafuta mipango ya kurudi kwenye utawala wako sio ubweteke.......to return ur kingdom....
...angalizo hapa lazima utombe....we huna budi kaa kijanja.......
Jombaa mwanaume ni mwanaume tu uwe na hela au usiwe nazo.

Usiruhusu kudharaulika kisa huna pesa, mwanamke anakupendea huo uanaume wako usiwe submissive kwake ati kisa huna kitu. Ujitutumue kutimiza haja zake kisa huna kitu.

Jiamini.
 
Mkuu, unyumba weka pembeni.

Jibu hoja ya mleta mada kwamba ni kweli wanawake hawavumilii kama wanaume linapokuja suala la shida ya kiuchumi?

Angalizo: Ngono isiwe part ya negotiation. Wanawake wamekuwa wajanja sana ishatapakaa kwenye jamii kuwa ngono ni kwa ajili ya mwanaume, si kweli, wanawake wanapiga mabao yao makubwa mazito mno.
sawa inategemea unataka kuvumiliwa kwenye kipi kama kumlaza na njaa afu utake avumilie why?
 
Ni wanaume wachache sana waliofulia kwa kiwango cha kumlaza mke na watoto na njaa. Wengi wanaweza kuleta chakula ila wanashindwa mahitaji mengine esp yale yasiyo ya lazima.

Ni wanawake wangapi wapo tayari kunyoa sababu mume wake hana pesa ya saluni? Katika 100 labda 3.
97 watavunja mahusiano hata kama mwanaume analeta chakula. Utafiti usio rasmi.
 
Intro:
Bila salamu.

Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa na faranga mfukoni huna shilling mpaka wallet imegeuka kitunguu ukifungua unatokwa na machozi.

Research findings:
Mwanamke anaeweza kuvumilia hio hali kwenye kundi la wanawake 10 basi la kwa kubahatisha anaweza akawepo mmoja tu na tena huyo mmoja nae ni wa tia maji tia maji yaan nae ni yupo km hayupo na hayupo km yupo.

Ninamaanisha hayupo mwanamke mvumilivu wa hali ngumu zinazohusika na mwanaume. Mwanaume unaweza ukavumilia hali ngumu za mwanamke ila ni vigumu sana kwa mwanamke kukuonyesha uvumilivu km jinsi wewe unavyoonyesha uvumilivu mambo yake yakienda ndivyo sivyo.

Ninazungumza kuhusu mahusiano ya kinyumba maana hamchelewi kuvuka mipaka mkaenda mpaka kusiko.

Summary, Conclusion & Recommendation:

Mwanaume ukisagulasagula ukampata mwanamke anaeweza kukuvumilia katika hali ngumu namaanisha hali ngumu kweli hata kwa mwaka mmoja tu, hio ni mali yako usiiache.
100Asilimia ni Kweli,ukimpata Huyo ni kiumbe wa karne zote.Jamaa mmoja kiliwaka Hali ikawa ngumu hata kwenda chooni anatoa hewa tuu!Mungu saidia akapata kazi nzuri Kambi za wakimbizi,Kigoma,Mwanamke akirudi spidi kwa nguvu zote kumfuata jamaa huko!Kakuta jamaa Yuko bize na baby mpya!Noma sana Hawa mamazetu!
 
Intro:
Bila salamu.

Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa na faranga mfukoni huna shilling mpaka wallet imegeuka kitunguu ukifungua unatokwa na machozi.

Research findings:
Mwanamke anaeweza kuvumilia hio hali kwenye kundi la wanawake 10 basi la kwa kubahatisha anaweza akawepo mmoja tu na tena huyo mmoja nae ni wa tia maji tia maji yaan nae ni yupo km hayupo na hayupo km yupo.

Ninamaanisha hayupo mwanamke mvumilivu wa hali ngumu zinazohusika na mwanaume. Mwanaume unaweza ukavumilia hali ngumu za mwanamke ila ni vigumu sana kwa mwanamke kukuonyesha uvumilivu km jinsi wewe unavyoonyesha uvumilivu mambo yake yakienda ndivyo sivyo.

Ninazungumza kuhusu mahusiano ya kinyumba maana hamchelewi kuvuka mipaka mkaenda mpaka kusiko.

Summary, Conclusion & Recommendation:

Mwanaume ukisagulasagula ukampata mwanamke anaeweza kukuvumilia katika hali ngumu namaanisha hali ngumu kweli hata kwa mwaka mmoja tu, hio ni mali yako usiiache.
Mwanamke ambae sio mdangaji anaweza kuvumilia mambo mengi sana, isipokua kukosa kupendwa. Ndio maana anaweza vumilia hata cheatings wengine wasimuelewe ila yeye akamuelewa mwenza wake. Mwanamke akipendwa wala haoni umaskini na shida, anaona kapata haswaa! Tatizo la mwanamke ni kutaka kupendwa kwa lugha anayoelewa yeye. Inaweza kuwa ni kupigiwa tu simu kutwa mara tatu na ukawin mpaka ukajishangaa!
 
Back
Top Bottom