Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Intro:
Bila salamu.
Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa na faranga mfukoni huna shilling mpaka wallet imegeuka kitunguu ukifungua unatokwa na machozi.
Research findings:
Mwanamke anaeweza kuvumilia hio hali kwenye kundi la wanawake 10 basi la kwa kubahatisha anaweza akawepo mmoja tu na tena huyo mmoja nae ni wa tia maji tia maji yaan nae ni yupo km hayupo na hayupo km yupo.
Ninamaanisha hayupo mwanamke mvumilivu wa hali ngumu zinazohusika na mwanaume. Mwanaume unaweza ukavumilia hali ngumu za mwanamke ila ni vigumu sana kwa mwanamke kukuonyesha uvumilivu km jinsi wewe unavyoonyesha uvumilivu mambo yake yakienda ndivyo sivyo.
Ninazungumza kuhusu mahusiano ya kinyumba maana hamchelewi kuvuka mipaka mkaenda mpaka kusiko.
Summary, Conclusion & Recommendation:
Mwanaume ukisagulasagula ukampata mwanamke anaeweza kukuvumilia katika hali ngumu namaanisha hali ngumu kweli hata kwa mwaka mmoja tu, hio ni mali yako usiiache.