mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Sasa kabla wewe hujaja alikuwa na wa kumwambia ila ukishakuwa na mahusiano means mmekuwa kitu kimoja anakuamini na ndio maana kaona wewe utaweza kumsaidia kutatua shida zako …
Mfano zamani nishawahi kumuomba sister angu vocha akaniuliza kwani huyo boyfriend wako anafanya nini asikitumie vocha na anakuchartisha so Kuna mambo sensitive huwezi kumwambia boyfriend na kuna mambo ya kawaida….
Ushakubali kuwa mpnz wake means unatakiwa kumsaidia inapowezekana kukwambia wewe ni kukuheshimu tu
No hakuna kitu kama hicho never ever[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ilitoka nikiwa nacheza rede
Wenye tunamiliki hiyo kitu ndio tunaelewa wewe mbona unatusemea?No hakuna kitu kama hicho never ever
Rede,kuendesha bicycle kupanda mti huu ni uongo kichaka cha kujificha
Bikra inatoka tuu iwapo kuna kitu kimeingia kwenye uke tuu either dudu,dildo,au vidole bas
Danganya wajinga wasiojua anatomy reproductive organ of female
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo unahudumia alafu mtu anakuwekea masharti ya kwamba utombgee mbususu yake tuu....hapo ndio napo shindwa kuelewa.Pole sana aisee, rekebisha hapo ni tunapakuana Mkuu.
kuachwa kitu gani kwani eiish wewe ukipita kuna wenzako wanaojua kutafuta hela na kutolalamika watakaa, mnalia Serum 80 huku mnataka babes zenu ziwe na ngozi nzuri, hudumieni!!
Bado ipo au wenyewe walishapita nayoWenye tunamiliki hiyo kitu ndio tunaelewa wewe mbona unatusemea?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipitiwi kizembe mimiBado ipo au wenyewe walishapita nayo
Basi ngoja nikupitie kiakili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipitiwi kizembe mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana wa hovyo sana nyieBasi ngoja nikupitie kiakili
Tanzania hii ni asilimia ngapi ya wanaume wenye kipato cha kujitosheleza unachohitaji? Uwezekano wa wewe kutongozwa na mwanaume Wa aina hiyo ni asilimia ngapi?Hakuna kitu kigumu kama kuwa na mwanaume asie na kipato unaweza kujikuta muda wote una hasira, mliumbwa mtuhudumie punguzeni kulalamika
Sisi wanawake tuna shida sana, unapenda hela ili hali wewe mwenyewe hata elfu 10 huwezi tafuta? Mimi mahusiano yangu hayajajengwa au hayapo kwa ajili ya kupata hela kwa mwanaume. Tupo kwa ajili ya ku enjoy na kujenga familia.Tanzania hii ni asilimia ngapi ya wanaume wenye kipato cha kujitosheleza unachohitaji? Uwezekano wa wewe kutongozwa na mwanaume Wa aina hiyo ni asilimia ngapi
Wewe unacontribute ninì kwenye mahusiano ukitoa sex? Simara
Sisi wanawake tuna shida sana, unapenda hela ili hali wewe mwenyewe hata elfu 10 huwezi tafuta? Mimi mahusiano yangu hayajajengwa au hayapo kwa ajili ya kupata hela kwa mwanaume. Tupo kwa ajili ya ku enjoy na kujenga familia.
Halafu kuna mjinga mmoja anasema furaha yake haitokani na pesa. Hata jirani hatakupenda kama huna pesa.Money is everything
Ila hela zetu tamuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana wa hovyo sana nyie
🤣🤣🤣🤣Tupo dear
Utakuaje na Mume bila kupitia uboyfriend and ugirlfriendtena bora awe Mume unaweza mvumilia kidogo ila hivi viboyfriend kama hakina hela kiende tu.
Umemuelewa mtoa mada vizuri?Money is everything
Vip kijana umemuelewa vizuri mtoa mada?Nikiwa sina pesa mwili wangu umeshakua automatic hata hauwazi mwanamke, hata mke wangu wanyumbani wala simsemeshi, najua litakalo tokea ....kama huna pesa mambo ya kuoa kwasasa achana nako labda kama watafuta stress